Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Lovely mum ndio nimempendea hovyo mkuu.Wee mwenyewe libaya hawez kujupenda leusiii, linene hafu lifupi flani hv.. Pua sasa kama kisigino...
total bsAnother bullshit
YewiiiA.k.a rais wa "wapiga box" US...(modern day slave)
Nataka nikupe wewe bure cc Mzigua90Mama Sabrina unaweza toa nyuchi kwa NN bure!?
Mkuu hayo mabmw kwa Nyani ni ishu ndogo sana.. Jamaa anatupia ma designer clothes havaigi midosho kama wabongo..kunasiku nilifungua uzi wake mmoja nkakuta anaongelea ma bmx sijui ye ndo anadhani alikua wa kwanza ku own....hayo ma kitu mtaani kwao.......if he is an icon in jf.....well good for him and dem galz in the line too....
Ni Nyani..[emoji12]Mbona mm simfahamu ndio nani huyo?
Una milioni 22 [emoji6][emoji6][emoji6] tukupe wote🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 kwahiyo mtanipa wote wawili na Mzigua90 mbona unamuita!.
10 itapendeza zaidi!.😀Una milioni 22 [emoji6][emoji6][emoji6] tukupe wote
Ngoja aje kama atakubali hiyo ndogo10 itapendeza zaidi!.😀
Mimi nipe sasa kwa mkopo,Kuna kahela ka mafao niko mbioni kukapata.Una milioni 22 [emoji6][emoji6][emoji6] tukupe wote
Mzigua hanaga hiari wewe tu ndio unakuaga unasitasita!Ngoja aje kama atakubali hiyo ndogo
Sitaki kusikia kabisa neno mkopoMimi nipe sasa kwa mkopo,Kuna kahela ka mafao niko mbioni kukapata.
Nipe nikupe hiyo na risiti juu,mengine yanafataMzigua hanaga hiari wewe tu ndio unakuaga unasitasita!
sipendi risiti!..Nipe nikupe hiyo na risiti juu,mengine yanafata
Sawa we ndo mzurisipendi risiti!..