MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mbebez niaje aisee! mbona mapovu ya kutosha humu hahah
Charty you good ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbebez niaje aisee! mbona mapovu ya kutosha humu hahah
We acha tu majukum yanatuficha,Nakutafuta uniongezee mtaji wa bureau si umesikia BOT wameongeza mtaji up to 300mil.Njoo unifanyie maajabu le super bilionea wangu wa bongo achana na NN, hahaaaBabes long time... Hahahaha hata mi nashangaa
Sure, am fine umemuona ex bebez angu apo juu,ebu msalimie alikua shemejiyo zamani...Charty you good ??
Nani huyo tena ???Sure, am fine umemuona ex bebez angu apo juu,ebu msalimie alikua shemejiyo zamani...
Hahahahaha haya bwana!Si huyo FisadiKuu hahah
Mie mzima kabsa, Na mambo yanaenda poa, sifa na utukufu ni kwa Mungu!Hahahahaha haya bwana!
Mzima lakini ?? Its always good to see you!