Nyani Ngabu the JF Superstar

Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.
Mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake ni sawa kila mwanaume kumsifia mwanaume mwenzake si sawa!!

Alafu mbona unatoa povu hivo teh teh teh teh
Wewe utakuwa umekalia Big G unahitaji kubanduliwa.

Idadi ya wanaume inazidi kupunguwa mjini.
 
Simshobokei kama huo utoto ulioandika. Ungetuuliza wanawake mnampendea nini Nyani Ngabu tungekupa majibu. Ila hayo uloandika labda mwenzetu unamshobokea kwa hayo. Mie nampendea majibu yake tu hayo ya kukaa nje sijui anakaa karibu na nani ndo nimejua leo kumbe NN ni neiba ake Usher.
Akajenge vyoo kwao kwanza, wasukuma wenzake wanakunya ziwani mpaka mabinti wakare kabisa.
 
We tapeli dalali sina muda wa kupoteza na wewe

Chongo wewe
tapatalk_1507870530859.jpg
 
Ni mimi ndie. Mbona hukuja kunisalimia sasa?
I was too excited to meet my role model.. Ile kofia yake nimeipenda sana.. Seen him with it multiple times. Hanaga kofia nyingine au ile anaivaaga bongo tu?
 
I was too excited to meet my role model.. Ile kofia yake nimeipenda sana.. Seen him with it multiple times. Hanaga kofia nyingine au ile anaivaaga bongo tu?
Kweli unampenda hadi kumfuatilia anavyovaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom