Nyani Ngabu the JF Superstar

Nyani Ngabu the JF Superstar

Status
Not open for further replies.
Kwanza mtoa uzi jina lako na mambo uloyafanya huku kumsifia mwanaume mwenzio umenisikitisha.
Halafu sisi huku hamna mtoto ataeshoboka kisa kukaa nje blah blah. Kuna mtu anakua anapendwa tu ila sio hayo uloyasema bwana. Designer clothes sijui mavitu ulomsifia nayo kweli uanze kuyashobokea wakati hata mtu humjui. Tutake radhi hatuna ushamba huo.
Kwani na wewe unamshobokea Nyani Ngabu?
 
Isije kuwa jamaa ana ID nyingi anacheza pata potea
NN hana ujinga huu!
AKITAKA KUJISIFIA ANAAMUAGA TU KUANDIKA BONGE LA THREAD!
na angekuwa ni yeye asingeandika hoja za kishoga shoga kama hizi!

NIMESHANGAA MTU UNAKAAJE UNASIFIA MWANAUME MWENZIO KIJAMES JAMES HIVI!wooooih1
 
WE NAEEE KAMA UNAMTAKA SI UMWENDEE TU PM UMWAMBIE HAJA ZA MOYO WAKO!
yani kwa kuwa unafantacy zako za kiwehu ndo uone kila mwanamke akktakwa na NN hatakataa!

KWA KUWA?
psyuuuuuu!
AKIKUBALIWA NI KWA KUWA MTU KAVUTIWA NAE!ILA SIO US SIJUI NN!US NI NINI?
AND MBONA SIJAWAHI HATA KUWAZA TU ANAFANANAJE LET ALONE KUMTAMANI!

nia yako unataka mwenzio awekwe tu ubaoni watu wanange!
wakikujibu wewe kumbe tunajikuta tunamuoffend bila sababu!

ACHA KUSHOBOKEA WATU NYUMA YA KEYBOARDS!
Punguza kidogo ukali wa maneno.. Shambulia mada usinishambulie mimi mkuu
 
Umemsoma FisadiKuu vizuri?.

Hakusema wanawake, Kauliza "Hivi kuna mrembo yeyote humu JF ambaye hamfagilii Nyani na swagg zake za kimtoni mtoni"?. Sidhani kama u mrembo.

Kwa maelezo yako hapo juu ni kwamba "Wewe ni mwanamke", urembo ni issue nyingine. Na pia sidhani kama wewe ni binti.

I stand to be corrected.
hahaaaa watu mnanondo ..yaani huwa hamuhitaji kushindwa kwahoja dhaifu ..kwa maelezo yako hapo juu wewe ni mwanamke but urembo ni issue nyingine hahaaa aisee
 
Punguza kidogo ukali wa maneno.. Shambulia mada usinishambulie mimi mkuu
INAUMA KUMBE KUAMBIWA USIYOFIKIRI KUFANYA ENH?
ULIPOSEMA WAREMBO WOTE HAWAWEZI KUMKATAA NN ULIKUWA UNASHAMBULIA MADA AU UNASHAMBULIA WATU?

KUNA VITU MKIANDIKA MNASOUND Wase......geeeeee!
 
NN hana ujinga huu!
AKITAKA KUJISIFIA ANAAMUAGA TU KUANDIKA BONGE LA THREAD!
na angekuwa ni yeye asingeandika hoja za kishoga shoga kama hizi!

NIMESHANGAA MTU UNAKAAJE UNASIFIA MWANAUME MWENZIO KIJAMES JAMES HIVI!wooooih1
Mwanamke kumsifia mwanamke mwenzake ni sawa kila mwanaume kumsifia mwanaume mwenzake si sawa!!

Alafu mbona unatoa povu hivo teh teh teh teh
 
INAUMA KUMBE KUAMBIWA USIYOFIKIRI KUFANYA ENH?
ULIPOSEMA WAREMBO WOTE HAWAWEZI KUMKATAA NN ULIKUWA UNASHAMBULIA MADA AU UNASHAMBULIA WATU?

KUNA VITU MKIANDIKA MNASOUND Wase......geeeeee!
Kwani we ni MREMBO?
 
Kwani na wewe unamshobokea Nyani Ngabu?
Simshobokei kama huo utoto ulioandika. Ungetuuliza wanawake mnampendea nini Nyani Ngabu tungekupa majibu. Ila hayo uloandika labda mwenzetu unamshobokea kwa hayo. Mie nampendea majibu yake tu hayo ya kukaa nje sijui anakaa karibu na nani ndo nimejua leo kumbe NN ni neiba ake Usher.
 
Hahahahaha kwahiyo wewe umempendea kingereza?
 
Tabia ya ushoga huuanza taratibu mwanaume anaanza kumsifia mwanaume mwenzake taratibu unashangaa unashikwa kalio mara unatatuliwa marinda

Endelea kuweka marinda yako rehani tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom