FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
- Thread starter
- #281
Kwani na wewe unamshobokea Nyani Ngabu?Kwanza mtoa uzi jina lako na mambo uloyafanya huku kumsifia mwanaume mwenzio umenisikitisha.
Halafu sisi huku hamna mtoto ataeshoboka kisa kukaa nje blah blah. Kuna mtu anakua anapendwa tu ila sio hayo uloyasema bwana. Designer clothes sijui mavitu ulomsifia nayo kweli uanze kuyashobokea wakati hata mtu humjui. Tutake radhi hatuna ushamba huo.