Hiyo kali. Ukiona hivyo ujue nilikuwa nshapiga nyagi...Mbona ulikuja ukapost kabisa hebu usinichimbue
Kweli umezeeka inabidi ustaafuHiyo kali. Ukiona hivyo ujue nilikuwa nshapiga nyagi...
Khaaa! Hata sikumbuki wallah
Nimestaafu vingi isipokuwa tendo la ndoa. Hilo hata kama nawekewa dripu kama ya Wastara wallah siezi liacha...Kweli umezeeka inabidi ustaafu
Hapo umeamua kuniharibia tu. Hapo mchepuko wangu ni Sakayo tu. Evelyn Salt huwa ananisaidia kurekebisha pale napomkosea wife.
Wew Muha wa hovyo sana, huenda wewe ni mkimbizi, hovyo kabisa. Unawezaje kumtusi mwenzako bila sababu? Kuna mtu alituma maombi ya sura yake?Wee mwenyewe libaya hawez kujupenda leusiii, linene hafu lifupi flani hv.. Pua sasa kama kisigino...
Nilikuwa nakutega nikupe talaka, lkn umeshinda[emoji23]Ni mrembo haswaa,.ila siko interested.
Atoe mara ngapi?Mama Sabrina unaweza toa nyuchi kwa NN bure!?
Khaaaa
Kumbe eeeh..Hapo umeamua kuniharibia tu. Hapo mchepuko wangu ni Sakayo tu. Evelyn Salt huwa ananisaidia kurekebisha pale napomkosea wife.
Shkamoo mchepuko wangu pekeeKumbe eeeh..
Shikamoo mchepuko wa babuKhaaaa
Ahaha kwa niniHahahaha
Kweli usilojijua ni kama usiku wa kiza!!
MarahabaShkamoo mchepuko wangu pekee
MwenyeweShikamoo mchepuko wa babu
HahahaAhaha kwa nini