Nyani Ngabu Yuko wapi?

Nyani Ngabu ana ID Nne humu ndani

Ya kwanza

"Nyani Ngabu"

Ya pili

"Julius"

Ya tatu

"Bwanchuchu"

Ya NNE

Ustaadh Swalehe

Usiulize nimezijuaje ni yeye mwenyewe wakati ana comment hayo majina yanajionesha

Mfano katika Uzi Fulani alikomenti kama nyani Ngabu

Kesho nikaona ile comment inetolewa na bwanchuchu hahahahah

Mods msinimind



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezea na hii
Brasil (lakini mods waliiunga kwenye ID yake ya NN)
Julius Magembe
 
Kuna mahala nimeona tetesi kuwa huenda Nyani Ngabu hatuko naye duniani

Nimepatwa na mshtuko kidogo kwani kama mwanafamilia wa JF naona kama
tumepoteza mtu muhimu ambaye lengo letu lilikuwa moja lakini tulitofautiana
Mitizamo.

Tafadhali Nyani Ngabu kama uko hai tunaomba ujitokeze, vinginevyo kama kuna
anayemfahamu Nyani Ngabu katika dunia ya kawaida tunaomba atupe taarifa.
 
CC: Kiranga
 
Zimeandikwa nyuzi nyingi sana humu kumhusu yeye lakini hajajitokeza kabisa nadhani baada ya ID yake kuchafuka akaizika sasa anatumia new unknown ID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…