Nyani Ngabu Yuko wapi?

Nyani Ngabu Yuko wapi?

tangu wanaomfahamu walipoanza kuweka wazi maisha yake, akaanza kuwa mpole na kuanza kupunguza ujuaji.

kuna mtu hapa jf aliwahi ku expose maisha ya bmkubwa wake mitaa ya mbezi,
kwamba licha ya kuishi kwake ughaibuni mda mrefu na mbwembwe za kujua kingereza, akija bongo huwa anafikia kwenye kibanda cha bmkubwa wake mbezi.

jf noma sana, wanaokujua wakiamua kukukalia kooni unaweza badili ID au unaweza kujipa likizo ya dharula ya kutoingia jf.
Hiyo link tafadhali. Huyu jamaa alikuwa na mambo ya kihunikihuni hap jf
 
Naona kuna haja ya kuita mkutano mkuu wa legends wa JF........tujadili yetu.....long tym sana.......upo poa lakini.......
Wakati unaenda kwenye huo mkutano nipitie hapa kijenge. Nitahudhuria.
 
Back
Top Bottom