ID mpya wp? mi nimeingia humu July 2018 kwa jina la "Fullfilledtruth" nikakaa kama miezi mi3 tu nikala ban 7bu za ushabiki wa siasa uchwara wa mitandaoni humu.
Nimekaa kama wiki 3 hv nikaja na jina "strongestbeliefsecret", sikubadili pp yangu ni ile ile na ndiyomaana hunikuti kwenye siasa 7bu haziniongezei chochote kile.
Sshapo nina ukongwe upi?
Ulishawahiona nimefungua uzi wowote humu, kuandika kwa "bolded writings"
Huwa sipotezewi sana muda na hii mitandao 7bu asilimia kubwa imekaa kouhamasishaji wa anasa tupu, ndiyomaana huwezinikuta Instagram, Facebook, Badoo, Tango, Imo n.k zaidi ya JF, Goal.Com, Google na WhatsApp pekee.
So usinifananishe na vitu nisivyohusiana navyo hata kidogo.
Sent using
Jamii Forums mobile app