Nyani Ngabu Yuko wapi?

Ngoja Watu wa Bariadi waje watupe uhakika ..

Mambo ya tetesi hatimaye yanakua kweli.
 
Kwa wale wote mnaohisi ngabu ni kibonde au ruge sio sawa kusema hivyo ..kama humfahamu ngabu bora utulie kuliko kulisha watu matango pori

Nyani ngabu tofauti na hao watu..linyani lipo kwa sura nyingine kabisa naona amekuwa mambo ya kitoto ameacha
 
Mkuu mkuu ya kweli hayo au umeshafanya ujambazi wako
 
A Las Vegas police officer was arrested Tuesday and accused of misconduct after an internal,

Investigation police said. The Metropolitan Police Department accused one of
its own, Nyani Ngabu, of using “criminal justice information systems” to disseminate information to unauthorized people on multiple occasions, a Tuesday afternoon release said.

The department also
accused Ngabu of using a personal phone to record video of interactions with
people, a violation of
department policy.

One of those videos
included the person’s private area being recorded without
that person’s knowledge.

Source:

Las Vegas Police Officer Nyani Ngabu Arrested ...
 
Zimeandikwa nyuzi nyingi sana humu kumhusu yeye lakini hajajitokeza kabisa nadhani baada ya ID yake kuchafuka akaizika sasa anatumia new unknown ID
Id yake ilichafuliwaje mkuu
 
Kwa wale wote mnaohisi ngabu ni kibonde au ruge sio sawa kusema hivyo ..kama humfahamu ngabu bora utulie kuliko kulisha watu matango pori

Nyani ngabu tofauti na hao watu..linyani lipo kwa sura nyingine kabisa naona amekuwa mambo ya kitoto ameacha
Ila Nyani ni pro Clouds media sana,ulikuwa huwezi kuisema vibaya clouds akakuacha hivi hivi. Yaani ukimsema Kusaga,Ruge lazima awatetee.
 
Dah !!!... jf bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…