Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Mauti yamevikwa taji dhidi ya dua🎵,RIP 'jasiri mwongoza njia'. Kaacha pengo.
Mauti yamevikwa taji dhidi ya dua.Duuuu inawezekana eeee..
Daa inatia simanziiiMauti yamevikwa taji dhidi ya dua.
Hahaaa. Nah.BBW=big beautiful women
Duh
Inasemekana alikuwa mahututi wiki mbili kabla ya kifo chake.Mwezi wa 2 ruge alikuwa mahututi ICU
Nyani ngabu alikuwa online jf anafanya yake.
HahhahahaBBW amekuwa Saint?
Ngabu ukuje
Sijambo mkuu habari yako