adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,638 Jun 21, 2022 #21 Numbisa said: Ufanywe msako kuua nyani wote karibu na makazi hayo shuaini zao wamepoteza uhai wa mtoto asiye na hatia. Click to expand... sisi na nyani ni dugu moja.tutamalizana kifamilia
Numbisa said: Ufanywe msako kuua nyani wote karibu na makazi hayo shuaini zao wamepoteza uhai wa mtoto asiye na hatia. Click to expand... sisi na nyani ni dugu moja.tutamalizana kifamilia
Asalamaleko JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 2,699 Reaction score 7,726 Jun 21, 2022 #22 papason said: kwenye hili tukio kutakuwa na namna nyingine apa, nguvu za 'dark' zinahusika apa ................. Click to expand... Usipende sana uchawi ktk maisha yako... jifunze tabia za nyani utajua hilo tukio la kawaida linatokea
papason said: kwenye hili tukio kutakuwa na namna nyingine apa, nguvu za 'dark' zinahusika apa ................. Click to expand... Usipende sana uchawi ktk maisha yako... jifunze tabia za nyani utajua hilo tukio la kawaida linatokea
sampuli nyingi Senior Member Joined May 4, 2022 Posts 187 Reaction score 298 Jun 21, 2022 #23 Dah jamani Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Jun 21, 2022 #24 adden said: sisi na nyani ni dugu moja.tutamalizana kifamilia Click to expand... [emoji1787][emoji1787]
adden said: sisi na nyani ni dugu moja.tutamalizana kifamilia Click to expand... [emoji1787][emoji1787]
Mczigga JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 722 Reaction score 1,272 Jun 21, 2022 #25 Iyo ishu utashangsa serikali ya Tz haitalipa hata fidia kwa uyo dada,, lakini binadamu angeua nyani ingekua big issue kwake.. hapo ndio huwa naona Upopoma wa serikali ya Tz
Iyo ishu utashangsa serikali ya Tz haitalipa hata fidia kwa uyo dada,, lakini binadamu angeua nyani ingekua big issue kwake.. hapo ndio huwa naona Upopoma wa serikali ya Tz