Nyanya inapofikia bei ya apple mateso yanaanzia hivi

WAKULIMA WA APPLE WANAPOAMUA KUKAA KIKAO KUTAKA APPLE ZIONGEZWE BEI
 
Motivational speaker wamepata topic , " ukilima hekari 1 ya nyanya ukapata kilo 700 za nyanya kila kilo moja ya nyanya ukauza Tshs 10,000/= una uhakika wa kupata 7,000,00/= kwa miezi 3 tu ..
[emoji3][emoji3]Kalime sasa uone kisanga chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiohelaa bora nkabetiee ale mhindi Nakuwaa nimewekeza KWENYE BARABARA. na kodii zakeee loh
 
😂😂
Kwani imeandikwa wapi ukila chukuchuku bila nyanya hutaishi..? Yakikushinda weka hata tomato sauce mbona supu haina nyanya na inabei kuliko mboga zenye nyanya mnakwama wapi wakuu...???
 
Wenzetu wanajua kuzihifadhi zikadumu hata mwaka,kwa kufanya canning,,tatizo vifungashio Hapa kimoja unaambiwa 5000
 
Mimi jana nimeenda duka fulani nimeomba nyanya za mia nne nimepewa nzur mbili... Dar mnateseka sana aisee
 
WAKUU TUPEANE ODDA MZIGO UNAINGIA KESHOO TOKA SHAMBAA
 
KILAMTU ATAKULA.KWA JASHO LAKE SIO PERFUME ANAYOPAKA
 
Wenzetu wanajua kuzihifadhi zikadumu hata mwaka,kwa kufanya canning,,tatizo vifungashio Hapa kimoja unaambiwa 5000
Zile nyanya za kufungasha hazifai... Unatakiwa ukinunua utumie yote papo kwa hapo... Yaani ikikaa siku mbili baada ya kuifungua lazima ukute wadudu... Kwenye huu ukanda wetu wa joto kali hazifai kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…