Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Umeona mkuu dohHesabu ni janga la Taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona mkuu dohHesabu ni janga la Taifa.
Original ni hio nimequote, hio ulioona wewe ni edited. Still 700*10,000=7,000,000/= na sio 700,000/= wala hio alioandika 7,000,00/=Yup
Yupo sahihi kabisa ila kuna namna imefanyika hiyo 700 ikawa 7000 ukitaka kujua hilo angalia original comment
Wewe ndio huna akili kabisa. Mwenzio kasema kilo 7,000 za nyanya, sio nyanya moja 7,000. Pia akapiga hesabu kilo moja 10,000/-. Haya siku ingine jifunze kusoma kwa umakini usikurupuke.Kwa akili yako kweli nyanya moja inaweza kuwa tshs 7000 ?