Nyanya za mshumaa/chungu/ngogwe za kukaanga

Mie nazipenda sana ziwekwe kwenye matembele/mchicha. Hata kwenye samaki iliyoungwa kwa nazi huwa bomba sana.

leo mmeamka ki njaa njaa tu mmesahau ya escrow jf bwana raha,,, mkimaliza ya ngogwe mtahamia kwenye vibamia
 
My dear hujakosea nina asili nako kabisaaaaa

Hahahaaa nilijua tu upishi huo ni wa asili ya ndugu zangu wadigo.
Dah nina hamu sana na muhogo wa Nazi uliochanganywa na papa pamoja na pilau la samaki mkavu.

kwa anayejua tafadhali atupie mtiririko wa mapishi yake.
 
Ndugu yangu umegusa pake miemdigo hasaaaaa bas me napenda mhogo wa naz uchanganywe na duvi
 
Acha ujuha wewe! Hivi aliyekwambia hapa kuna mipaka ya kuchangia kwamba ukichangia kwenye jukwaa moja huwezi kuchangia kwenye jukwaa lingine ni nani!? Tafakari kwa kina kabla ya kuandika pumba.

leo mmeamka ki njaa njaa tu mmesahau ya escrow jf bwana raha,,, mkimaliza ya ngogwe mtahamia kwenye vibamia
 
Hahahaaa nilijua tu upishi huo ni wa asili ya ndugu zangu wadigo.
Dah nina hamu sana na muhogo wa Nazi uliochanganywa na papa pamoja na pilau la samaki mkavu.

kwa anayejua tafadhali atupie mtiririko wa mapishi yake.

Loh!!!
 
Back
Top Bottom