Mie nazipenda sana ziwekwe kwenye matembele/mchicha. Hata kwenye samaki iliyoungwa kwa nazi huwa bomba sana.
My dear hujakosea nina asili nako kabisaaaaa
Hahahaaa nilijua tu upishi huo ni wa asili ya ndugu zangu wadigo.
Dah nina hamu sana na muhogo wa Nazi uliochanganywa na papa pamoja na pilau la samaki mkavu.
kwa anayejua tafadhali atupie mtiririko wa mapishi yake.
leo mmeamka ki njaa njaa tu mmesahau ya escrow jf bwana raha,,, mkimaliza ya ngogwe mtahamia kwenye vibamia