Nyaraka: Mojawapo ya kampuni iliyopewa kibali na Waziri Bashe kuingiza sukari nchini

Nyaraka: Mojawapo ya kampuni iliyopewa kibali na Waziri Bashe kuingiza sukari nchini

juma30

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
159
Reaction score
459
Bashe anadaiwa kushiriki katika ukiukwaji wa sheria, rushwa na kuikosesha serikali mapato katika utoaji wake wa vibali vya kuingiza sukari nchini.

Pia, anatuhumiwa kutoa vibali vya tani 410,000 za sukari kinyume na mahitaji yaliyopo; kuyapa makampuni yasiyo na sifa ya kuingiza bidhaa hiyo na kuikosesha serikali mapato ya zaidi ya Sh. 580 bilioni.

Kibali-sukari-Bashe.jpeg
 
NILISHAZUNGUMZA TOKA AWALI, KWA SAKATA HILI, KWA HESHIMA KUBWA, BASHE ACHIA NGAZI, ILI UUNUSURU "WELEDI" KATIKA MFUMO WA KIUTAWALA, KU-RESIGN NI HESHIMA KUBWA SANA, UNAPISHA UCHUNGUZI BAADA YA UCHUNGUZI NDIPO SASA, ITAJULIKANA ULICHAFULIWA AU ULIKUWA MWOVU.

PIA NI RAHISI KUONGA KWENYE TUME ITAKAYOTEULIWA ILI IKUSAFISHE! 😷😷😷
 
Hii nchi inaudhi sana! Mtu ameiba analindwa kwa faida ya nani?

Hapa kwa haraka mno ilibidi aliyemteua Bashe ampige chini haraka ili yeye akae kuwa mweupe
Ameshakwambia sio yeye wa kulaumiwa sio yeye mengine yeye hayamuhu hayo amesema wa kulaumiwa ni taasisi sio yeye msikilizeni vizuri Chura mumuelewe amesema sio yeye ni taasisi kwa hio ilaumuni taasisi
 
Back
Top Bottom