Nyaraka: Mojawapo ya kampuni iliyopewa kibali na Waziri Bashe kuingiza sukari nchini

Nyaraka: Mojawapo ya kampuni iliyopewa kibali na Waziri Bashe kuingiza sukari nchini

Ameshakwambia sio yeye wa kulaumiwa sio yeye mengine yeye hayamuhu hayo amesema wa kulaumiwa ni taasisi sio yeye msikilizeni vizuri Chura mumuelewe amesema sio yeye ni taasisi kwa hio ilaumuni taasisi
Kwa hivyo kama sio yeye mambo yanajiendea tu?
 
Ilikuwaje ikapanda tofauti na miaka minne iliyopita? Je hao watu 7 hawakuwepo?
Moja mafuriko mvua kubwa zilizonyesha miwa haukuvunwa pili hao watu 7 walificha sukari ili kupandisha bei .. walioolewa kibali kuagiza nje hawa kuagiza hata nusu kilo wakijua ikija ya nje bei itashuka .. kwanini wasipewe wengine ndio mnamuona chawa wao amepiga kelele oooh ufisadi sheria hazikufuatwa or gape suger ...
 
Unaambiwa mke wa bashe anatembea na mabegi ya hela?

Na nduguze wasomali wenzie hapo kariakoo wananunua na Wanajenga maghorofa hatari tupu
 
Back
Top Bottom