Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Mkuu Fukunyungu no thanks necessary what all Tanzaanians want I is justice we are tired on blah blah if you are a lawyer why don't you file a case intead of endless press conferences, I hate drama!

Msemakweli amefanya sehemu yake, sasa ni zamu ya DPP,PCCB na Polisi kumalizia sehemu zao.

With the use of little resources alizonazo msemakweli amejitolea kufanya kazi ambayo kuna watu tunawalipa mishahara ili waifanye lakini wamekuwa na kigugumizi.

Sasa ni wakati wa kumpongeza msemakweli kwa kuitikia wito wa PCCB, DPP, na AG kwa kuwasilisha ushahidi wa wizi wa kagoda,sasa kazi kwao.
 
As i know 4 our gornment no action will be taken other than laying as
 
msemakweli amenena lakini hakuna jipya kwani kampuni hyo ina utitiri wa vigogo.
 
One thing I really don't understand is the fact that somebody like him and other top ranking politicians say they have all the evidence in this Kagoda saga, and yet they do not file charges to the court of justice or Takukuru against everybody involved in this grand scandal.
So what's the point of going to the press claiming that you have the evidence and yet remain mum? Is it just for the sake of getting media attention and become popular?
Contrary to most of us, I like Rev. Mtikila and am big fan of him for a fact that whenever he has the evidence about any claims he always aggresively makes his move and never look back

Very simple what they want is attention and gaining popularity no more no less @ Raj Patel, I think you have a point bro.
<br />
<br />

Shossi our mother land laws doesn't allow, its upon DPP to institute criminal procedures in court and not individuals! That is so, for instance if someone attacked you, you can't go to institute a case direct, you will just remain a calm witness to the case, and the case will be Public against the accussed
 
cam
Independent lawyer and human rights crusader, Kainerugaba Erick Msemakweli, named people believed to be the forces behind Kagoda Agriculture Company Limited, at a news conference in Dar es Salaam yesterday.
Msemakweli read out a list of people, including prominent businessmen Yusuph Manji and Rostam Aziz, who he alleged were owners of the dubious Kagoda Agriculture Limited, for long associated with the siphoning of billions of shillings from the Bank of Tanzania’s External Payment Arrears Account.

He told a news conference in Dar es Salaam that he has sufficient evidence to prove in court that Manji and Rostam were the brains behind Kagoda’s networks that stole around 33bn/- from the EPA account in 2005.

He listed a chain of people behind the scam– Tabu Omari, John Kato, Barati Goda, Rostam Abdurasul Aziz, Yusuph Mehboob Manji, Gulam Abdurasul Chakaar, and Bahram Abdurasul Chakaar.
“These are operators and managers of Kagoda Agriculture Ltd, who masterminded the stealing of billions of shillings from BoT’s EPA account. I possess print and electronic evidence to substantiate my claims before a court of law, if need be,” said Msemakweli.
He explained that he conducted independent investigations into the EPA scam and found out that those he named were ring-leaders in Kagoda’s role in the high-profile corruption scandal.
“I am mentioning them because I have enough evidence plus supportive documents — in both print and electronic form, to argue my case…those who feel aggrieved by my actions should go to court,” he noted.
Msemakweli said he had already submitted some of the evidence to the Director of Public Prosecution (DPP), adding that he expected to have an audience with DPP today for “further consultations on the issue…I will also give him more evidence if he wants.”
The DPP, according to Msemakweli, called on people with evidence on Kagoda’s involvement in the scandal to submit them to the relevant law enforcement agencies for prosecution and other legal actions against the culprits. The same statement was repeated by Attorney General Frederick Werema during the just-concluded parliamentary session, he said.
“Statements by government officials are totally untrue…the names of Kagoda pioneers are here plus all the evidence showing how they were involved in drawing up the theft racket, including signing relevant documents to facilitate processes of stealing the money,” he said.
Unveiling details on the Kagoda syndicate, he said Barati Goda and John Kato registered Kagoda at the Business Registration and Licensing Agency (BRELA) but they used forged names—Francis William and John Kyomuhendo, respectively. He said that using his company, Quality Finance Corporation Ltd, Yusuph Manji acted as guarantor for Kagoda to enable it to open an account at CRDB Bank – Holland House Branch.
“In fact, the Kagoda EPA theft was planned by Manji and Rostam through their companies. The other people I have mentioned were just working under instructions from Rostam Aziz and Manji,” he observed.
“I am ready to fight with Manji and Aziz in court, because I have evidence that they were involved in the Kagoda theft. If the DPP does not take appropriate action after receiving the evidence I have given him, I will opt for other legal action,” said Msemakweli.
He said the country’s legal enforcement machinery needed to take action against Manji, Aziz and all other people involved in the Kagoda theft, saying it was “against the rule of law and good governance practices to take some few people, such as Maranda and Farijala, to court over the EPA scandal, leaving others untouched. The law should treat all culprits equally, regardless of their status, position or any reason.”

Source:Msemakweli :  Manji and Rostam were the brains behind EPA scam - Tanzagiza manji-and-rostam-were-the-brains-behind-epa-scam/

Thank you very much for this thread.however, I want to know your take on the subject matter before I embark into discussing the topic in question.
 
This is the world we live in.
Our Africa.
Our Tanzania.
If am not wrong this is just anoter political gymick.......how long has this Kagoda thing been on?
Do we mean to understand that this chap used rocket science to get his acclaimed evidence?
And why him?
why now?
Should we take it that he had to do this only afte RA is out of active politics (because he is still in politics behind the curtain..and you cant talk about Tanzanian politics withot him...because he is among the few King makers that we have....take it or leave it)
Ati msemakweli has been "detained for the sake of his own security"...nkkkkkkkkest....
Wacha tuone............
 
Yes this is another seriuos EPA scam formulation!

Now I can predict where the KAGODA business name originated! The two names: Barati Goda and John Kato played a very important role in formulating the Business name at BRELA.
I believe Msemakweli is 99 pc correct if not a 100 pc. With all the evidences necessary for submission to DPP,DCI and PCCB, the question is; will he get the maximum support and security from the CHAMA CHA MAGAMBA government? I am very doubtiful!

By referring the words said by PCCB Chief Dr. Hosea as revealed by WikiLeaks, Kiwete won't be happy to see this case happening in this second and last tenure of his reign. He will do everything possible in his capacity to block the case.

The case shall be suspended until CDM comes into power by 2015 presided by Dr. Wilbroad Peter Slaa.
 
Hauhitaji sheria hata kama kweli ingekuwa haipo. Serikali ya wananchi ndio inajulikana wenye mambo kama haya. Kutumia vyanzo narasimali zake mbali mbali mbali wahuika hali wanaweza kushtakiwa.

Wenzetu wanaona Makosa ya BAE si kwa sababu kuna makosa ya kisheria right away lakini sababu Taasisi zao zinafanya kazi kizalendo. na kimaadili

U can be legally right But morally wrong. Na ukiwa morally wrong tayari kwa mtu kama wanasheria makini kisheria unakamatwa. Kwenye profession nyingi kuna mambo mawili Legal resposbility na ethical respsibility. Ni kosa watu kudhani wakitimiza sheria wakakosa moral katika conduct zao basi watakuwa salama. May be utakuwa Salama only in Tanzania.

Mkuu umezungumzia jambo muhimu sana. Moral responsibilities. Wenzetu hawafanyi mambo si kwa sababu ni legally wrong but kwa sababu ni morally wrong. Kwa mfano mkiwa kwenye foleni it is morally wrong for the last arrival person to be served. Ila mbaya kwetu we neither follow the law nor morals.
 
Mkuu umezungumzia jambo muhimu sana. Moral responsibilities. Wenzetu hawafanyi mambo si kwa sababu ni legally wrong but kwa sababu ni morally wrong. Kwa mfano mkiwa kwenye foleni it is morally wrong for the last arrival person to be served. Ila mbaya kwetu we neither follow the law nor morals.

Sasa sisi wasanii wetu wakisaidiwa a wanasheria wetu wao mkazo wao ni sheria tu. Ofisi inaweza kununua VX hata kwa milioni 500. then ukihoji unaambiwa ilikuwa tender na ilifuata sheria zote. CAG naye atakumbia hakuna kosa Kulikuwa na bajeti kwa matumizi hayo

I thnk lawyers wanachangia kiasi kikubwa kwa taluuma yao kutumika kuscreew hii nchi yetu
 
Pasco, ili uweze uwe wizi ni lazima ujue fedha zilizoibwa zimetumika vipi? Je sheria ya Anti-money laundering inajali zilizotumwa zimetumika vipi?
Kwanza samahani kuchelewa kujibu, EMT ndio amenikumbusha.
Mzee Mwanakijiji, kuna utekelezaji wa matakwa ya kisheria, ila hao watekelezaji wamepewa nguvu za dhamira. Hivyo hata kama ushahidi dhidi ya Kagoda ni asilimia 100% kwa 100%, nimesema DPP kwa kutumia mamlaka yake, kamwe hawezi kufungua mashitaka kwa Kagoda, kwa vile anaelewa matumizi ya hizo fedha za Kagoda hivyo hawezi kata tawi la mti alioukalia, au kuukata mkono anauitumia kulia chakula.
 
Mkuu Pasco,

Ili kuweka rekodi sawa, wakati fedha zinachotwa Zakia Meghji hakuwa Waziri wa Fedha. Alichosema kwamba aliingizwa mjini ni kwamba Auditors walipomhoji Balalli kuhusu hizo hela za KAGODA alisema zilitumika kwa ajili ya shughuli za Usalama wa Taifa. Then ma-Auditor wakaamua kumuuliza Waziri ili wa-confirm. Waziri alipompigia simu Ballali ndipo Ballali alipoenda na maelezo hayo hayo. Mama Meghji akaishia kumwambia Ballali kwamba nenda kaandike barua ya majibu then niletee ni-sign na kuwapelekea hao ma-Auditors (hao ndio mawaziri wetu ambao hawawezi ku-cross check info wanazopewa). Yaani pesa zimekombwa BoT halafu unamuuliza Gavana na unamwambia kaandike barua ya majibu, unategemea ajilipue?

Baada ya sakata kuwa moto ndipo akaja kusema kwamba alifuatilia kwa Mgonja (Former Katibu Mkuu - Fedha) na akaambiwa habari tofauti kabisa. Ndipo akaja kuandika barua ya ku-withdraw barua ya awali iliyoandikwa na Ballali na yeye akapewa aweke sahihi.

Mkuu Pasco, hivi wale staff wa BoT wa kitengo cha madeni ambao wana kesi za ku-facilitate wizi wa EPA ni kwanini wanashitakiwa? Je, walikuwa wanajua motive ya huo wizi? Je, walikuwa wanajua fedha zinakwenda kutumiwa na akina nani? Kutokujua motive au end use ya hizo fedha it is immaterial.

Mfano, mimi nikitumwa na Boss wangu kwamba raise invoice hewa halafu tupate hela then tugawane, siku ikija kugundulika ni mimi ndiyo nitashikwa na kushitakiwa hata kama niliagizwa na Boss. Labda kama hayo maagizo ni ya maandishi, lakini kama ni maagizo ya mdomo, aliyeweka sahihi ndiye anashikwa kama mwizi!
Keil, nimekupata vizuri kabisa, hoja yangu ni pamoja na kupatikana ushahidi huu, DPP hataanzisha mashitaka dhidi ya Kagoda kwa kutumia mamlaka yake na sababu ikiwa ni moja tuu "hawezi kulikata tawi alilokalia"!, haswa kwa kuzingatia matumizi ya hizo fedha za Kagoda. "The end justify the means"!. Kama watu waliiba pesa, pesa hizo zikamuingiza rais madarakani, rais huyo akakuteua wewe kupata ulaji, baadaye ukagundua kumbe rais kaingizwa madarakani kwa fedha za wizi, fedha ndio za wizi lakini rais ni halali, na kakuteuwe wewe DPP kihalali, utathubutu kuuchunguza wizi uliomwingiza rais wako madarakani?. Maadamu sheria imekubali full mamlaka kuendesha mashitaka au hapana, wewe utathubutu kuyaendesha?!. Ndio maana nikasema, tuendelee kusema tunayosema kuhusu Kagoda, kesi mahakamani ni BIG NO!.
 
i. By December, 2005 all the money in the various CRDB Branches had been converted into United States Dollars and transferred into the Dollar account which Kagoda Agriculture Company Limited had opened with the assistance of Yusuf Manji and Rakesh Mehta at CRDB Holland House.



j. In late December, 2005 and early 2006 all the money in the Kagoda Agriculture Company Limited account at Holland House Branch totaling a sum of US$ 28,960,000 was transferred to the 1st Respondent’s account at the same Branch through 4 banker’s cheques as follows:



i. A banker’s cheque for $ 7,600,000 dated 27th December 2005;

ii. A banker’s cheque for $ 7,400,000 dated 29th December 2005;

iii. A banker’s cheque for $ 7,060,000 dated 2nd January 2006; and

iv. A banker’s cheque for $ 6,900,000 dated 2nd January 2006.
 
Kamati ya Mwanyika ilikataa habari za Manji za kujitetea kuwa hakuhusika na Kagoda kwa kudai kuwa babake ndo alihusika. Mwanyika na wenzake walichofanya ni kufunga account zote za Quality Finance Corp. Wakazuia passport yake asitoke nje ya nchi. Walidhamiria kumfirisi, na akadai kuwa alikopeshwa na Kagoda na Rostam akamshauri kuwa bora warudishe hela hizo

Mkuu unadhani huyu Feleshi ana uwezo wa kufanya lolote la maana pamoja na kumpatia huo ushahidi? Kama mkuu wake wa nchi aliamua kuwasamehe hao wezi, yeye unadhani atafanya lolote la maana. Nnacho dhani ni kwamba wanaweza kuwapeleka mahakamani lakini wakafanya usanii kama wa kesi ya Zombe ili watu waachiwe. Ila tunakushukuru kwa kuweka mambo hadharani, naamini siku moja haya mambo yanayofunikwa tutakuja kuyafanyia full ukaguzi. Muda hauko mbali.
 
Mkuu unadhani huyu Feleshi ana uwezo wa kufanya lolote la maana pamoja na kumpatia huo ushahidi? Kama mkuu wake wa nchi aliamua kuwasamehe hao wezi, yeye unadhani atafanya lolote la maana. Nnacho dhani ni kwamba wanaweza kuwapeleka mahakamani lakini wakafanya usanii kama wa kesi ya Zombe ili watu waachiwe. Ila tunakushukuru kwa kuweka mambo hadharani, naamini siku moja haya mambo yanayofunikwa tutakuja kuyafanyia full ukaguzi. Muda hauko mbali.

Hizi ni zama za kazi, hakuna cha kufunikwa hapa
 
watakaoleta mapinduzi hapa Tanzania kama yale ya misri ,tunisia, libya, yemen nk sio chadema, cuf wala chama chochote bali ni mtu mmoja mmoja jasiri kama msemakweli na wengine , wakiwepo kina msemakweli wakutosha basi ccm ijihesabu inazikwa kaburini
vyama ni mchezo wa siasa tu maana wanasiasa wanatumia mchezo wa siasa kula huku wakifanya kazi ya siasa kama mchezaji mpira anavyotumia mchezo wa mpira wa miguu kula huku akiwapa burudani watazamaji
 
Kwanini wapelekwe mahakamani wakati tayari wanajulikana na wameshaanza kuzirejesha hizo hela?
Mwizi akikamatwa na kurejesha alichokiiba haimaanishi kuwa hana hatia. Tena hayo marejesho ndo ushahidi tosha kwamba waliiba.
 
Mwizi akikamatwa na kurejesha alichokiiba haimaanishi kuwa hana hatia. Tena hayo marejesho ndo ushahidi tosha kwamba waliiba.

Hapa haki itendeke na Msema kweli na wenzake waliofanikisha kupata hizo nondo wapewe ulinzi.
 
Back
Top Bottom