Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Mkuu Fukunyungu no thanks necessary what all Tanzaanians want I is justice we are tired on blah blah if you are a lawyer why don't you file a case intead of endless press conferences, I hate drama!
Msemakweli amefanya sehemu yake, sasa ni zamu ya DPP,PCCB na Polisi kumalizia sehemu zao.
With the use of little resources alizonazo msemakweli amejitolea kufanya kazi ambayo kuna watu tunawalipa mishahara ili waifanye lakini wamekuwa na kigugumizi.
Sasa ni wakati wa kumpongeza msemakweli kwa kuitikia wito wa PCCB, DPP, na AG kwa kuwasilisha ushahidi wa wizi wa kagoda,sasa kazi kwao.
One thing I really don't understand is the fact that somebody like him and other top ranking politicians say they have all the evidence in this Kagoda saga, and yet they do not file charges to the court of justice or Takukuru against everybody involved in this grand scandal.
So what's the point of going to the press claiming that you have the evidence and yet remain mum? Is it just for the sake of getting media attention and become popular?
Contrary to most of us, I like Rev. Mtikila and am big fan of him for a fact that whenever he has the evidence about any claims he always aggresively makes his move and never look back
Very simple what they want is attention and gaining popularity no more no less @ Raj Patel, I think you have a point bro.
<br />
<br />
cam
Independent lawyer and human rights crusader, Kainerugaba Erick Msemakweli, named people believed to be the forces behind Kagoda Agriculture Company Limited, at a news conference in Dar es Salaam yesterday.
Msemakweli read out a list of people, including prominent businessmen Yusuph Manji and Rostam Aziz, who he alleged were owners of the dubious Kagoda Agriculture Limited, for long associated with the siphoning of billions of shillings from the Bank of Tanzanias External Payment Arrears Account.
He told a news conference in Dar es Salaam that he has sufficient evidence to prove in court that Manji and Rostam were the brains behind Kagodas networks that stole around 33bn/- from the EPA account in 2005.
He listed a chain of people behind the scam Tabu Omari, John Kato, Barati Goda, Rostam Abdurasul Aziz, Yusuph Mehboob Manji, Gulam Abdurasul Chakaar, and Bahram Abdurasul Chakaar.
These are operators and managers of Kagoda Agriculture Ltd, who masterminded the stealing of billions of shillings from BoTs EPA account. I possess print and electronic evidence to substantiate my claims before a court of law, if need be, said Msemakweli.
He explained that he conducted independent investigations into the EPA scam and found out that those he named were ring-leaders in Kagodas role in the high-profile corruption scandal.
I am mentioning them because I have enough evidence plus supportive documents in both print and electronic form, to argue my case those who feel aggrieved by my actions should go to court, he noted.
Msemakweli said he had already submitted some of the evidence to the Director of Public Prosecution (DPP), adding that he expected to have an audience with DPP today for further consultations on the issue I will also give him more evidence if he wants.
The DPP, according to Msemakweli, called on people with evidence on Kagodas involvement in the scandal to submit them to the relevant law enforcement agencies for prosecution and other legal actions against the culprits. The same statement was repeated by Attorney General Frederick Werema during the just-concluded parliamentary session, he said.
Statements by government officials are totally untrue the names of Kagoda pioneers are here plus all the evidence showing how they were involved in drawing up the theft racket, including signing relevant documents to facilitate processes of stealing the money, he said.
Unveiling details on the Kagoda syndicate, he said Barati Goda and John Kato registered Kagoda at the Business Registration and Licensing Agency (BRELA) but they used forged namesFrancis William and John Kyomuhendo, respectively. He said that using his company, Quality Finance Corporation Ltd, Yusuph Manji acted as guarantor for Kagoda to enable it to open an account at CRDB Bank Holland House Branch.
In fact, the Kagoda EPA theft was planned by Manji and Rostam through their companies. The other people I have mentioned were just working under instructions from Rostam Aziz and Manji, he observed.
I am ready to fight with Manji and Aziz in court, because I have evidence that they were involved in the Kagoda theft. If the DPP does not take appropriate action after receiving the evidence I have given him, I will opt for other legal action, said Msemakweli.
He said the countrys legal enforcement machinery needed to take action against Manji, Aziz and all other people involved in the Kagoda theft, saying it was against the rule of law and good governance practices to take some few people, such as Maranda and Farijala, to court over the EPA scandal, leaving others untouched. The law should treat all culprits equally, regardless of their status, position or any reason.
Source:Msemakweli : Manji and Rostam were the brains behind EPA scam - Tanzagiza manji-and-rostam-were-the-brains-behind-epa-scam/
Hauhitaji sheria hata kama kweli ingekuwa haipo. Serikali ya wananchi ndio inajulikana wenye mambo kama haya. Kutumia vyanzo narasimali zake mbali mbali mbali wahuika hali wanaweza kushtakiwa.
Wenzetu wanaona Makosa ya BAE si kwa sababu kuna makosa ya kisheria right away lakini sababu Taasisi zao zinafanya kazi kizalendo. na kimaadili
U can be legally right But morally wrong. Na ukiwa morally wrong tayari kwa mtu kama wanasheria makini kisheria unakamatwa. Kwenye profession nyingi kuna mambo mawili Legal resposbility na ethical respsibility. Ni kosa watu kudhani wakitimiza sheria wakakosa moral katika conduct zao basi watakuwa salama. May be utakuwa Salama only in Tanzania.
Mkuu umezungumzia jambo muhimu sana. Moral responsibilities. Wenzetu hawafanyi mambo si kwa sababu ni legally wrong but kwa sababu ni morally wrong. Kwa mfano mkiwa kwenye foleni it is morally wrong for the last arrival person to be served. Ila mbaya kwetu we neither follow the law nor morals.
Kwanza samahani kuchelewa kujibu, EMT ndio amenikumbusha.Pasco, ili uweze uwe wizi ni lazima ujue fedha zilizoibwa zimetumika vipi? Je sheria ya Anti-money laundering inajali zilizotumwa zimetumika vipi?
Keil, nimekupata vizuri kabisa, hoja yangu ni pamoja na kupatikana ushahidi huu, DPP hataanzisha mashitaka dhidi ya Kagoda kwa kutumia mamlaka yake na sababu ikiwa ni moja tuu "hawezi kulikata tawi alilokalia"!, haswa kwa kuzingatia matumizi ya hizo fedha za Kagoda. "The end justify the means"!. Kama watu waliiba pesa, pesa hizo zikamuingiza rais madarakani, rais huyo akakuteua wewe kupata ulaji, baadaye ukagundua kumbe rais kaingizwa madarakani kwa fedha za wizi, fedha ndio za wizi lakini rais ni halali, na kakuteuwe wewe DPP kihalali, utathubutu kuuchunguza wizi uliomwingiza rais wako madarakani?. Maadamu sheria imekubali full mamlaka kuendesha mashitaka au hapana, wewe utathubutu kuyaendesha?!. Ndio maana nikasema, tuendelee kusema tunayosema kuhusu Kagoda, kesi mahakamani ni BIG NO!.Mkuu Pasco,
Ili kuweka rekodi sawa, wakati fedha zinachotwa Zakia Meghji hakuwa Waziri wa Fedha. Alichosema kwamba aliingizwa mjini ni kwamba Auditors walipomhoji Balalli kuhusu hizo hela za KAGODA alisema zilitumika kwa ajili ya shughuli za Usalama wa Taifa. Then ma-Auditor wakaamua kumuuliza Waziri ili wa-confirm. Waziri alipompigia simu Ballali ndipo Ballali alipoenda na maelezo hayo hayo. Mama Meghji akaishia kumwambia Ballali kwamba nenda kaandike barua ya majibu then niletee ni-sign na kuwapelekea hao ma-Auditors (hao ndio mawaziri wetu ambao hawawezi ku-cross check info wanazopewa). Yaani pesa zimekombwa BoT halafu unamuuliza Gavana na unamwambia kaandike barua ya majibu, unategemea ajilipue?
Baada ya sakata kuwa moto ndipo akaja kusema kwamba alifuatilia kwa Mgonja (Former Katibu Mkuu - Fedha) na akaambiwa habari tofauti kabisa. Ndipo akaja kuandika barua ya ku-withdraw barua ya awali iliyoandikwa na Ballali na yeye akapewa aweke sahihi.
Mkuu Pasco, hivi wale staff wa BoT wa kitengo cha madeni ambao wana kesi za ku-facilitate wizi wa EPA ni kwanini wanashitakiwa? Je, walikuwa wanajua motive ya huo wizi? Je, walikuwa wanajua fedha zinakwenda kutumiwa na akina nani? Kutokujua motive au end use ya hizo fedha it is immaterial.
Mfano, mimi nikitumwa na Boss wangu kwamba raise invoice hewa halafu tupate hela then tugawane, siku ikija kugundulika ni mimi ndiyo nitashikwa na kushitakiwa hata kama niliagizwa na Boss. Labda kama hayo maagizo ni ya maandishi, lakini kama ni maagizo ya mdomo, aliyeweka sahihi ndiye anashikwa kama mwizi!
Kamati ya Mwanyika ilikataa habari za Manji za kujitetea kuwa hakuhusika na Kagoda kwa kudai kuwa babake ndo alihusika. Mwanyika na wenzake walichofanya ni kufunga account zote za Quality Finance Corp. Wakazuia passport yake asitoke nje ya nchi. Walidhamiria kumfirisi, na akadai kuwa alikopeshwa na Kagoda na Rostam akamshauri kuwa bora warudishe hela hizo
Mkuu unadhani huyu Feleshi ana uwezo wa kufanya lolote la maana pamoja na kumpatia huo ushahidi? Kama mkuu wake wa nchi aliamua kuwasamehe hao wezi, yeye unadhani atafanya lolote la maana. Nnacho dhani ni kwamba wanaweza kuwapeleka mahakamani lakini wakafanya usanii kama wa kesi ya Zombe ili watu waachiwe. Ila tunakushukuru kwa kuweka mambo hadharani, naamini siku moja haya mambo yanayofunikwa tutakuja kuyafanyia full ukaguzi. Muda hauko mbali.
Mwizi akikamatwa na kurejesha alichokiiba haimaanishi kuwa hana hatia. Tena hayo marejesho ndo ushahidi tosha kwamba waliiba.Kwanini wapelekwe mahakamani wakati tayari wanajulikana na wameshaanza kuzirejesha hizo hela?
Mwizi akikamatwa na kurejesha alichokiiba haimaanishi kuwa hana hatia. Tena hayo marejesho ndo ushahidi tosha kwamba waliiba.