mzee wa wazee
Member
- Nov 1, 2010
- 70
- 18
Kumbe yuko biased!Niseme ukweli mimi si mwana CCM na sintokufa nikiwa CCM, mimi ni CHADEMA tangu mwaka 1999 na nitaendelea kuwa CHADEMA - Msemakweli
unamuogopa ee?Msemakweli ni nani huyoo jamani?
Kumbe yuko biased!
Hapo tayari nimeshaona tatizo la huyu jamaa lipo wapi.
Nina picha, video zinazoonyesha wizi wa Kagoda wazi.
Kinara wa wizi huu ni Rostam Aziz aliyekuwa mbunge wa Igunga.
Wa pili ni Yusufu Manji
Kumbe yuko biased!
Hapo tayari nimeshaona tatizo la huyu jamaa lipo wapi.
Kama hamna jina la Rostam kwenye nyaraka yoyote, utamshtaki kwa vigezo gani? Utatumia ushaidi upi?Yusufu Manji mpaka sasa alisharejesha Bil 30 na Rostam kwa kupitia kampuni ya Afritainer (iliwahi kuiba Bil 12 mwaka 2000) alirejesha 3bil. Rostam hakutaka kuonekana kokote kwenye nyaraka
Hapa umeona jipya lipi?Kwani akiwa chadema akasema wizi mnaoufanya ndio kuwa biased? Kumbe wewe ni bure kabisa kama pua lako!
Kama hamna jina la Rostam kwenye nyaraka yoyote, utamshtaki kwa vigezo gani? Utatumia ushaidi upi?
Wapinzani tafuteni mbimu nyingine plz..hii ya ufisadi imeshapitwa na wakati.
usitupunguzie stimuUmemaliza?
Hapa sijaona kitu kipya..ni yale yale tu tuliyoyazoea!
Huyu Msemakweli anajitafutia tu umaarufu.
na wewe ni hatari? Au umeanza kuvua gambaHizi nyuzi za hatari!
Hebu endelea kutujuza mkuu
Hizi nyuzi za hatari!
Hebu endelea kutujuza mkuu
Ukweli ni kuwa kina Rostam na Manji wanataka watanzania waamini kuwa pesa zilienda CCM kwenye uchaguzi lakini hii ni janja ya kutaka wasifikishwe kwenye mikono ya sheria.
Rostam na Manji nawamudu, siogopi usalama wangu. Siwaogopi na liwalo na liwe! Sitishiki juu ya usalama wangu.
Msemakweli
Hamna mwananchi wa Tanzania asiyelipa Kodi labda with an exception of Dr Wilbroad Slaa!Kuwa na huruma na kodi zetu mkuu au wewe mwenzetu hulipi kodi unazila tu kodi zetu???? Usitake mtu akutukane bure kwani akiwa Chadema hawezi kufichua maovu yaliyomo ndani ya serikali au lazima unataka awe mwanaCCM mwenzio?