Nyaraka ya Mahakama Kuu Kuhusu zuio la Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake 18

Nyaraka ya Mahakama Kuu Kuhusu zuio la Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake 18

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Haya ni maamuzi ya Mahakama Kuu mbele ya Jaji Mgetta kuwa

1. Maombi ya zuio la muda la kina Halima Mdee kuendelea kubaki na Ubunge wao hadi kesi yao itakapokubaliwa.

2. Kesi ya msingi itasikilizwa Juni 13, 2022 saa 4:00 Asubuhi.

0001.jpg


0002.jpg


0003.jpg
 
Hoja za jaji naona zina msingi, kwa sababu kama hao kina Halima walipeleka affidavit zao [viapo] kwa kina Kibatala, ili kujibu kilichoandikwa kwenye affidavit hizo [counter affidavit] lazima ingechukua muda.

Naona jaji ametoa wiki mbili kwa hayo mazoezi yote kukamilika kabla ya shauri la msingi kuanza kusikilizwa tarehe 13.06.2022.

Kwangu suala la msingi ni kuwa sioni popote hapo kwenye maamuzi ya jaji wakina Mdee walipoomba wasiondolewe uwanachama wao Chadema.

Sasa Spika alikubaliana vipi na sababu ya kina Mdee kufungua kesi mahakamani bila kujua nini walichoiomba mahakama?

Hawa kina Mdee wanaomba waendelee kuwa wabunge kulingana na hayo majibu ya jaji [kifungu cha 1], sasa vipi waendelee kuwa wabunge kama uwanachama wa chama cha siasa hawana kulingana na Katiba?
 
Hi prayer ilyoandikwa hapa inamaanisha ombi ?!
 
Mwandishi wa nyaraka anapoandika "prayed" anamaanisha "requested" ??
 
The matter worth calling utter adulteration of the Constitution of URT. It widens the rift pioneered by 5th phase government.
 
Back
Top Bottom