Nyaraka za Siri za kuachiwa Civilian Coin na Mahakama na magereza za vuja

Nyaraka za Siri za kuachiwa Civilian Coin na Mahakama na magereza za vuja

C-C Digital Pro

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
361
Reaction score
532
ProfilePic_1783098426477_1.jpg

Baada ya upotoshaji mwingi wa je ni kweli Bwana Civilian Coin ameachiwa na Mahakama au kamaliza kifungo, meza yetu imepambana mpaka ikapata nyaraka kutoka kwa wadau wetu. Kama hapa zinavyosomeka na je alifungwa kwa jina
IMG_20260312_082823_968.jpg
IMG_20260312_082744_633.jpg
Screenshot_20260320-191412_1.jpg
gani Deogratius Kisandu au Civilian Coin, majibu yote ni hapa jf.
IMG_20260312_082521_913.jpg

View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=pRxFPvpQeY9J5tL9
 
Oya kisandu ,ushatoka embu kaa chini weka mikakati upya ya utaishi vipi achana na hizi stori ambazo hatujaziomba na pia jua tulimiss ngoma zake kwakuwa siasa ulisema umestaafu mwenyewe
 
Hatimae mwamba umerudi uraiani, ila ninakupa pole kwa changamoto ulizopitia.

Kulizuka sintofahamu ya wewe mume wa mtoto wa Rais Obama(Maria) kupotea ktk mazingira tatanishi lakini tumefurahi kukuona bado uko hai.

Lakini;
Ndugu yangu Deo Kisandu au Asubuhi News , nakushauri uachane na siasa ujikite kwenye ufugaji na kilimo huku ukiendelea na huduma ya kumtumikia Mungu ili akuepushe na mapito ya kisiasa.

Pia jiepushe na lugha za matusi au kejeri dhidi ya wale mahasimu wako ili usije ukajikuta umepotezwa ghafla kusikojulikana.
Sasa anaitwa Civilian Coin

  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom