Nyaraka za Siri za Mali za Kifamilia zina hifadhiwa wapi?

Nyaraka za Siri za Mali za Kifamilia zina hifadhiwa wapi?

Sasa wazee wa dini wanapomuombea marehemu au zile ibada za mazishi huwa zinasaidia nini??
Ibada za mazishi ni kwaajili ya wafiwa, ibada ya kumwombea marehemu ni batili mtu akikata pumzi kila kitu kimekwisha
 
Huyo mke mdogo in Malaya tu yeye na wanawe hawastahili kitu Wamwache bi mkubwa na wanawe mali zao
 
Madhara ya kuzaa watoto kwa mafungu kutogawanya mali pia.

Wanaume na wanawake tujifunze.
 
Poleni sana...

Familia za ki-Africa aisee... ni kama vile mlikua mnaombea mshua afe mlianzishe...

Ingekua Waarbu, Wazungu au Wahindi wangeziendeleza hilo mali mpaka kua millioners...



Cc: mahondaw
 
Mwenye Mali akishakufa,kifatacho ni kufungua mirathi.atachaguliwa msimamizi wa mirathi nakufata tarabu zote kisheria.
Mambo ya kutunza nyaraka za siri ni pale mwenye Mali akiwa hai, akishakufa hakuna cha kutunza nyaraka.(ualisia) ni kusumhua tu mahakama.
Fateni taratibu za mirathi. Nyie kaaeni pembeni ,msimamizi wa mirathi sheria inamtaka kufanya kila kitu kwa haki, na hatokuwa na undugu wowote na beneficiaries.
 
Back
Top Bottom