Ibada za mazishi ni kwaajili ya wafiwa, ibada ya kumwombea marehemu ni batili mtu akikata pumzi kila kitu kimekwishaSasa wazee wa dini wanapomuombea marehemu au zile ibada za mazishi huwa zinasaidia nini??
Kwahio zile RIP hua ni unafiki tu.Ibada za mazishi ni kwaajili ya wafiwa, ibada ya kumwombea marehemu ni batili mtu akikata pumzi kila kitu kimekwisha
Ukisema unafiki inakuwa too harsh [emoji16][emoji16]nadhani tuJnasema tu kama namna ya kuonyesha tunajali lakini kiukweli haina athari yoyoteKwahio zile RIP hua ni unafiki tu.
Wamekataa kwa maelezo ya mleta uzi.RITA ndo wanatoa huduma ya kuhifadhi nyaraka hasa za mirathi
Huko RITA ni salama sana?RITA ndo wanatoa huduma ya kuhifadhi nyaraka hasa za mirathi