GE2025 Nyarandu: Vijana wote wawe mstari wa mbele, wawasaidie wazee watakapofika kupiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Aliyekuwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka vijana siku ya uchaguzi kutoa nafasi kwa watu wasiojiweza kama Wazee, walemavu na wajawazito kupiga kura kwanza ili kutimiza haki hiyo ya kikatiba.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Mwanza, Nyalandu amewataka vijana hao pia kuhakikisha wanalinda amani siku hiyo ya uchaguzi kwa kujiepusha kujiingiza katika mambo yanayoweza kuvuruga amani nchini.

"Vijana wote wawe mstari wa mbele, wawasaidie wazee watakapofika kupiga kura watoe nafasi kwanza kwa wazee, wasiojiweza, akina mama wapige kura, ile mistari mirefu sasa vijana ndio wamalizie, lakini tuhakikishe wanalinda amani na mshikamano wa nchi hii ambayo mataifa mengi sana wanatuonea uchu, gere," amesema.

Vijana sii wasaliti wa taifa hili ila vijana ni wazalendo na kamwe hawako tayari kushiriki kulihujumu na kulisaliti taifa letu.
 
Ha ha ha ha, Nyarandu upo eee. Hakuna mzee au mwanamke anatoka 29th. Hiyo ni siku ya UBATIZO wa Taifa. Ni Gen Z na watawala.
 
Aliyekuwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka vijana siku ya uchaguzi kutoa nafasi kwa watu wasiojiweza kama Wazee, walemavu na wajawazito kupiga kura kwanza ili kutimiza haki hiyo ya kikatiba.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Mwanza, Nyalandu amewataka vijana hao pia kuhakikisha wanalinda amani siku hiyo ya uchaguzi kwa kujiepusha kujiingiza katika mambo yanayoweza kuvuruga amani nchini.

"Vijana wote wawe mstari wa mbele, wawasaidie wazee watakapofika kupiga kura watoe nafasi kwanza kwa wazee, wasiojiweza, akina mama wapige kura, ile mistari mirefu sasa vijana ndio wamalizie, lakini tuhakikishe wanalinda amani na mshikamano wa nchi hii ambayo mataifa mengi sana wanatuonea uchu, gere," amesema.

1761133364653.jpg
 
Back
Top Bottom