Nyasa Big Bullets; Timu mbovu inaongoza ligi mbovu, kwenye wabovu lazima apatikane mwenye nafuu

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Nilikuwa naona mashabiki wa simba wakiwananga yanga kwamba wamekutana na timu mbovu ndo maana wameshinda lakini na wao nashuhudia timu wanayocheza nayo ni yale yale kiziwi anamcheka kipofu,,Big bullets anaweza akawa ni bora kule kwao kutokana na ushindani wa chini wa ligi yao nikimaanisha kwenye wabovu lazima awepo kiongozi wao mwenye nafuu ndo iyo big bullets

Kiufupi timu zote Yanga na Simba tutaziona rasmi hatua inayofata ndo kipimo halisi na sio hizi timu walizokutana nazo hakuna anayeweza kujisifu eti ameshinda mechi ngumu,

ama Nyasa wangekuwa makini leo wangeondoka na goli zaidi ya 2 kwa nafasi walizotengeneza lakini ndo hivyo uwezo wao ni mdogo sana
 
F323E4A5-1E25-48CF-B1C6-38712EE6BFCF.jpeg
 
Nilikuwa naona mashabiki wa simba wakiwananga yanga kwamba wamekutana na timu mbovu ndo maana wameshinda lakini na wao nashuhudia timu wanayocheza nayo ni yale yale kiziwi anamcheka kipofu,,Big bullets anaweza akawa ni bora kule kwao kutokana na ushindani wa chini wa ligi yao nikimaanisha kwenye wabovu lazima awepo kiongozi wao mwenye nafuu ndo iyo big bullets,,kiufupi timu zote Yanga na simba tutaziona rasmi hatua inayofata ndo kipimo halisi na sio hizi timu walizokutana nazo akuna anayeweza kujisifu eti ameshinda mechi ngumu, kama nyassa wangekuwa makini leo wangeondoka na goli zaidi ya 2 kwa nafasi walizotengeneza lakini ndo ivyo uwezo wao ni mdogo sana
Ukweli murua kabisa,na wala siyo hisia.
 
Wale wasudan hata control tu ya mpira hawana.
 
Mateso yameanza.Pole sana
 
Tukutane October 7
 
Timu zote mbili zilizokutana ni mbovu, hivi kama yule Kibu Denis hata Kauzu Fc kwenye ndondo Cup hapati namba, anarukaruka tu uwanjani.
 
NBB hawachezi ndondo cup, NBB sio umiseta ya kucheza mchangani kama wale mliocheza nao ambao control tu chumba, sebule na store kabisa.
Usiteseke sana.
 
Kwa hyo al ahly
As vita
Nkana red devils

Wote walikuwa wabovu si ndio maana yake team nzima ilikuwa yanga waliocheza fainali ya Caf champions league.
 
Acha kubalansi mzani bora ya big bullets kidogo kulikuwa na upinzani wale Zolan ni Kama vijana wa secondary!
 
Huko kwao malawi hivi kuna ligi gani?
Wao na zalan hawana tofauti
 
Back
Top Bottom