Nyasa Big Bullets; Timu mbovu inaongoza ligi mbovu, kwenye wabovu lazima apatikane mwenye nafuu

Nyasa Big Bullets; Timu mbovu inaongoza ligi mbovu, kwenye wabovu lazima apatikane mwenye nafuu

Sawa
 

Attachments

  • 70454925172e4a86b44a1e3849340405.jpg
    70454925172e4a86b44a1e3849340405.jpg
    20.7 KB · Views: 1
ama Nyasa wangekuwa makini leo wangeondoka na goli zaidi ya 2 kwa nafasi walizotengeneza lakini ndo hivyo uwezo wao ni mdogo sana
Basi kama wanaweza hadi kutengeneza nafasi, hao sio wabovu
 
Cecafa mwaka jana Nyasa walitoka 1-1 na Yanga. Wakatoka 2-2 na Azam.

Walifika final wakafungwa na eventual winner Express ya Uganda
 
Back
Top Bottom