ngajapo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2012 Posts 1,782 Reaction score 3,525 Sep 18, 2022 #21 Mtoto halali na hela said: View attachment 2360845 Click to expand... haha!! uto ina maana hamjaona maneno yaliyopigwa msitari japo??
Mtoto halali na hela said: View attachment 2360845 Click to expand... haha!! uto ina maana hamjaona maneno yaliyopigwa msitari japo??
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Sep 19, 2022 #22 Sawa Attachments 70454925172e4a86b44a1e3849340405.jpg 20.7 KB · Views: 1
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Sep 19, 2022 #23 Mtanzanias said: ama Nyasa wangekuwa makini leo wangeondoka na goli zaidi ya 2 kwa nafasi walizotengeneza lakini ndo hivyo uwezo wao ni mdogo sana Click to expand... Basi kama wanaweza hadi kutengeneza nafasi, hao sio wabovu
Mtanzanias said: ama Nyasa wangekuwa makini leo wangeondoka na goli zaidi ya 2 kwa nafasi walizotengeneza lakini ndo hivyo uwezo wao ni mdogo sana Click to expand... Basi kama wanaweza hadi kutengeneza nafasi, hao sio wabovu
Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,729 Reaction score 10,500 Sep 19, 2022 #24 Cecafa mwaka jana Nyasa walitoka 1-1 na Yanga. Wakatoka 2-2 na Azam. Walifika final wakafungwa na eventual winner Express ya Uganda
Cecafa mwaka jana Nyasa walitoka 1-1 na Yanga. Wakatoka 2-2 na Azam. Walifika final wakafungwa na eventual winner Express ya Uganda