Leta linkCamp Mulla ndio wasani wa maana east africa kushuhudiwa
Nyashinski hajafikia moto wa Camp Mullah mkuu wale jamaa walikua balaa huyu he has just started!!..Sijui kwanini ila Kenyans mlikua na Camp Mullah walikua poa sana ila hawakufikia moto wa huyu jamaa ambao yeye kaufikia kwa muda mfupi tangu arudi.
Sasa wewe Daby ndo nimeanza kukuelewa. Usiniambie ulikuwa unahudhuria zile rap battle na freestyle za WaPi (Words and Pictures) pale B.C Upperhill au baadaye kule Ngara, 'The Dome'.Khalighraph/babs yao namjua vizuri toka anafanya streets battles na kina oxido, kristof.
Enzi zile nilikuwa namkubali saana....ila anafanya poa.
Nice, very nice! You are right, Nyasinski is definately back!
I never get tired listening nski.
Mazee.. never disappoints.