Nyashinski is back with a pinch of vengeance.

Nyashinski is back with a pinch of vengeance.

Sijui kwanini ila Kenyans mlikua na Camp Mullah walikua poa sana ila hawakufikia moto wa huyu jamaa ambao yeye kaufikia kwa muda mfupi tangu arudi.
Nyashinski hajafikia moto wa Camp Mullah mkuu wale jamaa walikua balaa huyu he has just started!!..
 
Sawaa jamaa ni mkali
Lakin namuweka kiwango cha Q-chillah tuu
Hawawezi kukaa pamoja atleast wangeendana na Ngwear..

Ngwear alikuwa na uwezo wa kurap na kuimba hapo hapo na kote akafanya vyema.
 
The legend turn his head up!!Jamaa is talented for real!Namkubali saaana saaana Nyashinski
 
Khalighraph/babs yao namjua vizuri toka anafanya streets battles na kina oxido, kristof.

Enzi zile nilikuwa namkubali saana....ila anafanya poa.
Sasa wewe Daby ndo nimeanza kukuelewa. Usiniambie ulikuwa unahudhuria zile rap battle na freestyle za WaPi (Words and Pictures) pale B.C Upperhill au baadaye kule Ngara, 'The Dome'.
 
I like his style kwa kweli na huu wimbo wake wa hayawani pia ni mzuri ..
Mashairi makali na hata videoz naona anaeka seriousness ingawa naona kama kuna kaufanano katika nyimbo zake yaani asipoangalia ataanza kuwa predictable

Tatizo la wasanii wengi wa muziki ni kutoa ngoma hitz mfululizo na je ,ataweza kumantain hiyo peak aliyoanza nayo ..hapa ndo huwa namuheshimu platnumz
 
Ila hayawani ipo vizuri sana.

Lyrics nzuri sana.
 
Sasa wewe Daby ndo nimeanza kukuelewa. Usiniambie ulikuwa unahudhuria zile rap battle na freestyle za WaPi (Words and Pictures) pale B.C Upperhill au baadaye kule Ngara, 'The Dome'.


I never get tired listening nski.

Mazee.. never disappoints.
 
Back
Top Bottom