Nyasi bandia viwanjani lini zitaanza kuwekwa?

Nyasi bandia viwanjani lini zitaanza kuwekwa?

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Nazani kila mtu anajua mwaka huu kwenye bajeti ya wizala ya michezo zipo pesa kwa aajili ya kuboresha viwanja lini wataanza hatujui na hua inachukua muda gani wataaram mtusaidi huwa siamini sana Mambo ya sirikali Maana hata mwaka jana Kodi ziliondolewa lakini sijaona hata kiwanja kimoja kilicho wekwa ligi haipo mbali na viwanja vinaitajika sijui itakuaje au kopeni Azam kwenye zile billion miambili za haki ya matangazo mtengeneze viwanja mtaludisha kidogo dogo
 
Za hovyo sana , wawekeze kupanda nyasi asili za kisasa. Standard ya kimataifa hairuhusu kutumika kechi kubwa za kimataifa
 
waweke haraka hizo nyasi viwango vya wachezaji wetu vikue tukapambane na wababe wa soka Afrika na duniani. Naamini Mwigulu anavyoipenda Yanga ataweka nyasi fasta ili timu yetu pendwa na wachezaji wa kiwango cha EPL wainjoi kucheza bongo!

Maneno ya LUC yamepata jibu!
 
Wanapisha uchaguzi wa vyura huko kwenye madimbwi yaliyoko jangwani
Nazani kila mtu anajua mwaka huu kwenye bajeti ya wizala ya michezo zipo pesa kwa aajili ya kuboresha viwanja lini wataanza atujui na hua inachukua muda gani wataaram mtusaidi huwa siamini sana Mambo ya sirikali Mana ata mwaka jana Kodi ziliondolewa lakini sijaona ata kiwanja kimoja kilicho wekwa ligi haipo mbali na viwanja vinaitajika sijui itakuaje au kopeni Azam kwenye zile billion miambili za haki ya matangazo mtengeneze viwanja mtaludisha kidogo dogo
 
Mzee kajifunze kuandika, huko shule mlienda kusomea ujinga? By Ajuza foxy
 
CCM Kirumba wauwache na nyasi zake za asili waufanyie maboresho zaidi.
 
Nazani kila mtu anajua mwaka huu kwenye bajeti ya wizala ya michezo zipo pesa kwa aajili ya kuboresha viwanja lini wataanza atujui na hua inachukua muda gani wataaram mtusaidi huwa siamini sana Mambo ya sirikali Mana ata mwaka jana Kodi ziliondolewa lakini sijaona ata kiwanja kimoja kilicho wekwa ligi haipo mbali na viwanja vinaitajika sijui itakuaje au kopeni Azam kwenye zile billion miambili za haki ya matangazo mtengeneze viwanja mtaludisha kidogo dogo
Waambie hao ccm hatutaki nyasi bandia! Kwanza zimepitwa na wakati. Tuna mito, maziwa na water table za kutosha sana za kumwagilia viwanja vyenye nyasi za asili.

Hayo matakata yatawaumiza wachezaji wetu! Lakini pia
Tukiyaweka hayo manyasi ya bandia, yatasababidha tukose hata hiyo sifa ya kuandaa Afcon miaka ijayo.
 
Nilimsikia waziri husika akisema wataweka nyasi za asili, ilimechi za kimataifa kama AFCON ichezwe kwenye viwanja hivyo

"Katika kuhakisha Tanzania inaandaa mashindano ya Kimataifa na kikanda, Serekali imetenga Mwaka huu wa fedha 2022/23 kiasi cha Shilingi Bilioni 10, kukarabati viwanja.

Kwa hatua ya kwanza vitaanza
viwanja saba (7) vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM
Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani - Tanga.

Aidha, ukarabati huo utavihusisha viwanja vya
Uhuru na Benjamina Mkapa Jijini Dar es Salaam. Hatua ya pili ni kukarabati viwanja vingine ikiwa ni pamoja na kuweka nyasi
bandia na majukwaa katika mikoa ya Kigoma, Rukwa, Mtwara, Iringa, Tabora na Shinyanga baada ya kujadiliana na wamiliki wa viwanja hivyo.

Mkakati huu utaiwezesha Tanzania kufanikisha maandalizi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON ambayo tayari Tanzania imependekezwa kwa mwaka 2027 ambayo ni ndoto ya Rais, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya kuandaa mashindano ya AFCON
 
Back
Top Bottom