mtungu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2021
- 270
- 435
Nazani kila mtu anajua mwaka huu kwenye bajeti ya wizala ya michezo zipo pesa kwa aajili ya kuboresha viwanja lini wataanza hatujui na hua inachukua muda gani wataaram mtusaidi huwa siamini sana Mambo ya sirikali Maana hata mwaka jana Kodi ziliondolewa lakini sijaona hata kiwanja kimoja kilicho wekwa ligi haipo mbali na viwanja vinaitajika sijui itakuaje au kopeni Azam kwenye zile billion miambili za haki ya matangazo mtengeneze viwanja mtaludisha kidogo dogo