mtungu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2021 Posts 270 Reaction score 435 Apr 11, 2023 #1 Hivi zishafika bandarini au ilikua danganya toto tuliambiwa viwanja kumi watavikarabati na kuviweka nyasi bandia je hela hakuna au ndio uongo wa kila siku.
Hivi zishafika bandarini au ilikua danganya toto tuliambiwa viwanja kumi watavikarabati na kuviweka nyasi bandia je hela hakuna au ndio uongo wa kila siku.
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,550 Reaction score 12,239 Apr 11, 2023 #2 Yaleyale ya CAG
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Apr 11, 2023 #3 Wahuni watakuwa wameshapiga cha juu kitambo, kwenye zabuni ya hizo takataka zao.
Ahyan JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 2,310 Reaction score 5,482 Apr 11, 2023 #4 Wale ila wasivimbiwe
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Apr 11, 2023 #5 Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli.. Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma. Mara hadi 2021 kitakuwa tayari. Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk...... Ma uongo uongo tu
Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli.. Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma. Mara hadi 2021 kitakuwa tayari. Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk...... Ma uongo uongo tu
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 Apr 11, 2023 #6 CAPO DELGADO said: Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli.. Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma. Mara hadi 2021 kitakuwa tayari. Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk...... Ma uongo uongo tu Click to expand... CCM ni ile ile rejea wimbo wao
CAPO DELGADO said: Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli.. Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma. Mara hadi 2021 kitakuwa tayari. Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk...... Ma uongo uongo tu Click to expand... CCM ni ile ile rejea wimbo wao