Nyasi bandia za sirikali

Nyasi bandia za sirikali

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
270
Reaction score
435
Hivi zishafika bandarini au ilikua danganya toto tuliambiwa viwanja kumi watavikarabati na kuviweka nyasi bandia je hela hakuna au ndio uongo wa kila siku.
 
Wahuni watakuwa wameshapiga cha juu kitambo, kwenye zabuni ya hizo takataka zao.
 
Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli..

Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma.
Mara hadi 2021 kitakuwa tayari.
Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk......

Ma uongo uongo tu
 
Selikali ya Samia nayo imeanza kuwa na Mauongo mengi kama ya Magufuli..

Mara kiwanja Cha kisasa Dodoma.
Mara hadi 2021 kitakuwa tayari.
Mara kitajengwa na Mfalme wa Moroko nk......

Ma uongo uongo tu
CCM ni ile ile rejea wimbo wao
 
Back
Top Bottom