Kwanza mafundi hawakumwaga mchanga wa kutosha, wamejenga juu ya udongo...na kingine hukuweka lile nailoni kabla hujapanga hizo pavingWakuu,
Naomba msaada, nafanyaje ili kuzuia hii hali ya nyasi kuota kwenye maungio ya paving blocks ambazo zimekwishawekwa?
Kadri mvua zinavyonyesha majani yanastawi sana kwenye maungio inakuwa kama sina pavements kabisa ndani ya Nyumba.
Naamini ntapata msaada juu ya namna ya kutoa nyasi na jinsi ya kuzuia isitokee tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama kazi ULIFANYA ukiwa mbali hapo karatasi hawakuweka chini Ile nyeusi kazi yake ni kuzuia nyasi zisioteWakuu,
Naomba msaada, nafanyaje ili kuzuia hii hali ya nyasi kuota kwenye maungio ya paving blocks ambazo zimekwishawekwa?
Kadri mvua zinavyonyesha majani yanastawi sana kwenye maungio inakuwa kama sina pavements kabisa ndani ya Nyumba.
Naamini ntapata msaada juu ya namna ya kutoa nyasi na jinsi ya kuzuia isitokee tena.
Nimeona mtu mmoja hapa Dodoma,Nyasi zilikuwa zinaota kama ulivyosema,fundi maiko mmoja akamshauri aanze upya kwa kuzitoa na Kisha kuweka nailoni na baadae ndo pavements ifuate.Ziko vizuri!Mimi sio fundi.Wakuu,
Naomba msaada, nafanyaje ili kuzuia hii hali ya nyasi kuota kwenye maungio ya paving blocks ambazo zimekwishawekwa?
Kadri mvua zinavyonyesha majani yanastawi sana kwenye maungio inakuwa kama sina pavements kabisa ndani ya Nyumba.
Naamini ntapata msaada juu ya namna ya kutoa nyasi na jinsi ya kuzuia isitokee tena.
Wakuu,

Kanunue dawa za kuua magugupulizia,shida inaisha