CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,093
Wakuu,
Naomba msaada, nafanyaje ili kuzuia hii hali ya nyasi kuota kwenye maungio ya paving blocks ambazo zimekwishawekwa?
Kadri mvua zinavyonyesha majani yanastawi sana kwenye maungio inakuwa kama sina pavements kabisa ndani ya Nyumba.
Naamini ntapata msaada juu ya namna ya kutoa nyasi na jinsi ya kuzuia isitokee tena.