Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*hivi hakuna hata nyumba moja kati ya zile zilizobomolewa zilizojengwa kwa NYATI CEMENT?*
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba doza haliwezi bomoa? Lile tangazo litakuwa halina maana*hivi hakuna hata nyumba moja kati ya zile zilizobomolewa zilizojengwa kwa NYATI CEMENT?*
Wakafute tangazo lao haraka sana*hivi hakuna hata nyumba moja kati ya zile zilizobomolewa zilizojengwa kwa NYATI CEMENT?*
Kuna Nyumba kadhaa walishindwa ajili ya cement hiyo. Nadhan watatumia mabomu. Hii cement nimpinzani Wa maendeleo kiukweli*hivi hakuna hata nyumba moja kati ya zile zilizobomolewa zilizojengwa kwa NYATI CEMENT?*