maziwa ya mgando
Senior Member
- Mar 29, 2012
- 167
- 36
nimempenda huyu nyu memba. naomba urafiki
Hahahaha! Uwiii mgeni anamjua nitonye jamani?
Hivi unadhani raha hayo mambo??
Ni kama una umbea afu ukazibwa mdomo.
Sawa Mwaju, ntakuwa rafiki yako.
Shosti.. Humjui jambazi nyau wewe?
mmmmmh!!!
..
Nilikuwa naingia kama gest, napenda sana chit hat
Leo nimeamua kujiunga rasmi.
Watu naowaona sana hapa ni wewe, eric, baga, kabakabana, husyn, wengine nimewasahau.
Mgeni najuta kukukaribisha ujue lol..Nilikuwa naingia kama gest, napenda sana chit hat
Leo nimeamua kujiunga rasmi.
Watu naowaona sana hapa ni wewe, eric, baga, kabakabana, husyn, wengine nimewasahau.
Nimempenda sana huyu memba mpya...Karibu kitaa kwangu nakaa na flatmate wangu anaitwa Mwali.
Jisikie uko nyumbani.
Unajuta kwa nini? Yaani mie niko overwhelmed na jf leo.Mgeni najuta kukukaribisha ujue lol..
Memba mpya hafai walah tena!Nimempenda sana huyu memba mpya...Karibu kitaa kwangu nakaa na flatmate wangu anaitwa Mwali.
Jisikie uko nyumbani.
Memba mpya hafai walah tena!
Asante kaka Ambitious, ila kumbuka mie ni binti. Na hatujazaliwa na mama mmoja.
Hivyo hiyo, unaakili sana, najua umeongea ila kwa maneno kuingia ndani ya kinywa badala ya kuyatoa nje ya kinywa.
Mezea tu.
Mgeni najuta kukukaribisha ujue lol..
Umekula koni nyingi? Hadi unaziyeyusha? No wonder nitonye kapotea.
au anauguza kidonda?
Memba mpya hafai walah tena!
We gambachovu, umeanza lini kummiss mgeni?Miss you!
NN, umeniharibia siku! Umenikumbusha boifrendi wangu nyau, enzi zile alikuwa ananipa magood time maskini! Nilikuwa natembelea ford escort mie, mtaa mzima na matrafiki wote wananijua! Haina hata sight mirror by default!
Mwenzio Nyau alikuwa bf wake afu tena unamwuliza kama alikuwa kazaliwa?Wewe enzi za Nyau ulikuwa umezaliwa?
Mwenzio Nyau alikuwa bf wake afu tena unamwuliza kama alikuwa kazaliwa?