Nyau

Nyau

Nilikuwa naingia kama gest, napenda sana chit hat
Leo nimeamua kujiunga rasmi.

Watu naowaona sana hapa ni wewe, eric, baga, kabakabana, husyn, wengine nimewasahau.

Nimempenda sana huyu memba mpya...Karibu kitaa kwangu nakaa na flatmate wangu anaitwa Mwali.
Jisikie uko nyumbani.
 
Nimempenda sana huyu memba mpya...Karibu kitaa kwangu nakaa na flatmate wangu anaitwa Mwali.
Jisikie uko nyumbani.

Asante kaka Ambitious, ila kumbuka mie ni binti. Na hatujazaliwa na mama mmoja.

Mgeni najuta kukukaribisha ujue lol..
Unajuta kwa nini? Yaani mie niko overwhelmed na jf leo.
Basi ngoja niende uzi mwingine nisikukwaze.
 
Hivyo hiyo, unaakili sana, najua umeongea ila kwa maneno kuingia ndani ya kinywa badala ya kuyatoa nje ya kinywa.
Mezea tu.

bora umejua kuwa nimemezea. Lol.
Upo poa mgeni? Unakunywa kinywaji gani nimwambie hamisi akuhudumie.
 
NN, umeniharibia siku! Umenikumbusha boifrendi wangu nyau, enzi zile alikuwa ananipa magood time maskini! Nilikuwa natembelea ford escort mie, mtaa mzima na matrafiki wote wananijua! Haina hata sight mirror by default!
 
Wewe enzi za Nyau ulikuwa umezaliwa?
 
Back
Top Bottom