naomba yeyote mwenye uwezo wa ku supply nyavu za kuvulia samaki awasiliane na mimi haraka'tafadhali eleza aina ya nyavu unazoweza ku supply na bei zake kwa detail zifuatazo
naomba yeyote mwenye uwezo wa ku supply nyavu za kuvulia samaki awasiliane na mimi haraka'tafadhali eleza aina ya nyavu unazoweza ku supply na bei zake kwa detail zifuatazo
Kuhusu kama ni Con Man siwezi kujua wala kutetea lakini kupata contact au kufahamu watu wanahitaji nini dunia hii ambayo ni kijiji siku hizi sio lazima uwe sehemu fulani ili ufanye biashara..
Nimeshafanya Biashara na watu wa Hong Kong; China, Uganda n.k. (wala sijawahi kufika huko, na sometimes nafanyia kwenye simu na laptop huku nimejifunika shuka langu na mwanga wangu wa kibatari) huku nimeweka Zantel yangu Tshs 3 kwa sekunde au natumie email na Chat Messengers