Nyavu za kuvulia samaki zinahitajika haraka namibia

Nyavu za kuvulia samaki zinahitajika haraka namibia

Delegate

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
331
Reaction score
201
naomba yeyote mwenye uwezo wa ku supply nyavu za kuvulia samaki awasiliane na mimi haraka'tafadhali eleza aina ya nyavu unazoweza ku supply na bei zake kwa detail zifuatazo

lema.jackson@gmail.com
00267 73553246
 
wewe ni tapeli... tena a big conman... umewahi zungumzia biz opportunity botswana.. ukasema upo huko.. leo NAMIBIA?????
 
hapo kwenye red:siwezi kumwamini mchaga hata kama nina pesa yakutupwa
 
wewe ni tapeli... tena a big conman... umewahi zungumzia biz opportunity botswana.. ukasema upo huko.. leo NAMIBIA?????

Kuhusu kama ni Con Man siwezi kujua wala kutetea lakini kupata contact au kufahamu watu wanahitaji nini dunia hii ambayo ni kijiji siku hizi sio lazima uwe sehemu fulani ili ufanye biashara..

Nimeshafanya Biashara na watu wa Hong Kong; China, Uganda n.k. (wala sijawahi kufika huko, na sometimes nafanyia kwenye simu na laptop huku nimejifunika shuka langu na mwanga wangu wa kibatari) huku nimeweka Zantel yangu Tshs 3 kwa sekunde au natumie email na Chat Messengers
 
Back
Top Bottom