Nyayo kukatika/kukauka

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Wana JF msaada wenu nauhitaji. Nikivaa viatu vya kutumbukiza nyayo zangu zinakuwa poa. Ila nikutamani kuvaa open shoes kwa siku tatu tu ni shida! Nyayo zinakuwa kavu sana na zinakatika nakuuma. Katika hali ya kawaida ni lazima kubadili viatu kulingana na mazingira..Nimesha shauriwa kutumia heel balm tofauti/ glycerine lakini inanisaidia kwa muda mfupi. Msaada wapendwa
 
Mkuu cha kufanya sugua miguu vizuri kwenye nyayo kisha nunua Glycerine kwenye nyayo zako wakati wa kulala ukishaoga. Picha hii hapa.

 
Natumia mkuu ila nikisema nimejisahu tu for 2 -3 days .. Ohh majanga. Any permanent solution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…