mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Wana JF msaada wenu nauhitaji. Nikivaa viatu vya kutumbukiza nyayo zangu zinakuwa poa. Ila nikutamani kuvaa open shoes kwa siku tatu tu ni shida! Nyayo zinakuwa kavu sana na zinakatika nakuuma. Katika hali ya kawaida ni lazima kubadili viatu kulingana na mazingira..Nimesha shauriwa kutumia heel balm tofauti/ glycerine lakini inanisaidia kwa muda mfupi. Msaada wapendwa