JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Uwazi unajengwa kwa upatikanaji wa taarifa bila vikwazo
Taarifa zinatakiwa kutolewa kwa Wananchi kuhusu kile ambacho Serikali inafanya. Upatikanaji wa taarifa husaidia usimamizi wake
Uwazi wa Maamuzi ya Kiserikali na Michakato yake husaidia katika kuwajengea Wananchi Uzalendo wa Taifa lao