J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Jul 23, 2021 #1 Uwazi unajengwa kwa upatikanaji wa taarifa bila vikwazo Taarifa zinatakiwa kutolewa kwa Wananchi kuhusu kile ambacho Serikali inafanya. Upatikanaji wa taarifa husaidia usimamizi wake Uwazi wa Maamuzi ya Kiserikali na Michakato yake husaidia katika kuwajengea Wananchi Uzalendo wa Taifa lao
Uwazi unajengwa kwa upatikanaji wa taarifa bila vikwazo Taarifa zinatakiwa kutolewa kwa Wananchi kuhusu kile ambacho Serikali inafanya. Upatikanaji wa taarifa husaidia usimamizi wake Uwazi wa Maamuzi ya Kiserikali na Michakato yake husaidia katika kuwajengea Wananchi Uzalendo wa Taifa lao
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Jul 23, 2021 #2 Huo ni uwazi wa serikali kwa wananchi, Vipi uwazi wa wananchi kwa serikali?