Nyepesi nyepesi za mastaa.

Nyepesi nyepesi za mastaa.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huyu ni msanii wa kike maarufu tu, na jina lake lilianza kukua zamani kidogo na alishaandikwa sana kwenye magazeti kwa scandal za kutoka na wanaume tofauti, ni mfupi mwenye rangi ya kunga'aa na ni mzuri wa sura japokuwa hana umbo zuri.

Huyu bidada watu wanamsema sana kwa tabia yake ya kubadilisha wanaume hovyo tena bila aibu, yeye muda wote utamkuta na vijana wa kiume tu, marafiki zake wamemuonya ila wapi huyu staa kawa kichwa ngumu.

Habari zilizo chini ya kapeti na za kuaminikia inasemekana huyo staa wala hana tabia ya umalaya kama wengi wanavyodhani na hao vijana watanashati wala hana mahusiano nao ya kimapenzi bali ni mashoga zake tu kama walivyo madada wengine, hujaelewa tu? Yani staa huyo ana tabia ya kuwakuwadia wanaume hao kwa wanaume wenzao haswa wenye pesa chafu.

Staa huyo mwenye hulka ya upole na mcheshi ambaye huwezi kumdhania na matendo yake hayo machafu, wala SIO AUNTY LULU, mwenyewe ana sura ya upole iv japokuwa ni muongeaji sana.

Anadaiwa kuwa kuwadi maarufu apa mjini ila wengi hawajamshtukia tu kwa kuwa mara nyingi amekuwa akiandamwa na scandal za umalaya.
 
Sio johari kweli?hapo nimetumia hiyo point ya sura nzuri umbo mbaya
 
Binamu kwanza karibu tulikumisi hatari hadi jukwaa likapoa dunia ya sasa ni majanga kwakweli hadi wanaume wanakuwadiwa ni shiiider
 
Back
Top Bottom