Nyerere(1960): Hakuna uwezekano wa Jeshi la Tanganyika kuasi na kupindua serikali

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Hayo maneno alipata kuyatamka Mwalimu Nyerere (mwaka 1960), siku chache kabla hajaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika wakati huo.

Lakini miaka michache mbele(1964), jeshi likaasi. Tukio baya kabisa katika maisha ya kisiasa ya Mzee huyu tunayempenda sana.

Ni vizuri kwa viongozi wa nyakati hizi kujifunza kutoka katika historia na kuacha kubeza wananchi; tunafahamu karibu viongozi wote wa CCM ni wapenda mali na wavivu wa kusoma lakini historia ni mwalimu mzuri kujifunza kutawasaidia.

Ni hatari na dharau kubwa nyakati hizi kuwaita wananchi sisimizi, kenge ama nywinywinywi.

Kila siku siyo Ijumaa na siku moja katika maisha ya kisiasa ni siku ndefu mnooooooo🙌🏽

Mungu Ibariki Tanganyika
Mungu Ibariki Tanzania
 
1000065681.jpg
 
Dawa yao ipo jikoni inachemka taratibu bila wasiwasi, kunamkuu mmoja namtamani nimlukishe kichurachura kama siyo kichurichuri.
 
Hayo maneno alipata kuyatamka Mwalimu Nyerere (mwaka 1960), siku chache kabla hajaapishwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika wakati huo.

Lakini miaka michache mbele(1964), jeshi likaasi. Tukio baya kabisa katika maisha ya kisiasa ya Mzee huyu tunayempenda sana.

Ni vizuri kwa viongozi wa nyakati hizi kujifunza kutoka katika historia na kuacha kubeza wananchi; tunafahamu karibu viongozi wote wa CCM ni wapenda mali na wavivu wa kusoma lakini historia ni mwalimu mzuri kujifunza kutawasaidia.

Ni hatari na dharau kubwa nyakati hizi kuwaita wananchi sisimizi, kenge ama nywinywinywi.

Kila siku siyo Ijumaa na siku moja katika maisha ya kisiasa ni siku ndefu mnooooooo🙌🏽

Mungu Ibariki Tanganyika
Mungu Ibariki Tanzania
Aliyemuokoa huyu mzee ndio aliotuingiza kwenye matatizo
 
Jeshi linachukua nchi mapema sana.

Kwa sasa asilimia zaidi ya 90 ya Watanzania tunataka Jeshi luchukue nchi.
 
Nchi imeshachukuliwa na jeshi bado kutangaza tu.....Wanatumia tu hekima kwa sasa...
 
Back
Top Bottom