Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
| Name | Abbr. | Area A (km²) | Population Projection (P) 2015-07-01 | Population Projection (P) 2020-07-01 |
|---|---|---|---|---|
| Congo (Dem. Rep.) | COD | 2,345,000 | 86,026,000 | 101,935,800 |
| Bas-Uele | BUL | 148,331 | 1,138,000 | 1,369,600 |
| Équateur | EQU | 103,902 | 1,528,000 | 1,856,000 |
| Haut-Katanga | HKA | 132,425 | 4,617,000 | 5,718,800 |
| Haut-Lomami | HLO | 108,204 | 2,957,000 | 3,662,800 |
| Haut-Uele | HUL | 89,683 | 1,864,000 | 2,242,500 |
| Ituri | ITU | 65,658 | 3,650,000 | 4,392,200 |
| Kasaï | KAS | 95,631 | 2,801,000 | 3,417,000 |
| Kasaï-Central | KSC | 59,500 | 3,317,000 | 4,045,300 |
| Kasaï-Oriental | KSO | 9,545 | 3,145,000 | 3,864,300 |
| Kinshasa | KIN | 9,965 | 11,575,000 | 14,565,700 |
| Kongo Central (Bas-Congo) | KGC | 53,920 | 5,575,000 | 6,838,500 |
| Kwango | KWA | 89,974 | 2,152,000 | 2,618,700 |
| Kwilu | KWI | 78,533 | 5,490,000 | 6,682,300 |
| Lomami | LOM | 56,426 | 2,443,000 | 3,001,900 |
| Lualaba | LUA | 121,308 | 2,570,000 | 3,183,300 |
| Maï-Ndombe | MND | 127,243 | 1,852,000 | 2,254,100 |
| Maniema | MAN | 132,250 | 2,333,000 | 2,856,300 |
| Mongala | MON | 58,141 | 1,740,000 | 2,114,100 |
| Nord-Kivu [North Kivu] | NKV | 59,483 | 6,655,000 | 8,147,400 |
| Nord-Ubangi | NUB | 56,644 | 1,269,000 | 1,542,500 |
| Sankuru | SAN | 104,331 | 2,110,000 | 2,593,400 |
| Sud-Kivu [South Kivu] | SKV | 64,791 | 5,772,000 | 7,066,400 |
| Sud-Ubangi | SUB | 51,648 | 2,458,000 | 2,987,100 |
| Tanganyika | TAN | 134,940 | 3,062,000 | 3,792,200 |
| Tshopo | TSO | 199,567 | 2,352,000 | 2,829,700 |
| Tshuapa | TSU | 132,957 | 1,600,000 | 1,944,500 |
| Name | Adm. | Population Estimate (E) 2004-07-01 | |
|---|---|---|---|
| 1 | Kinshasa | KIN | 7,273,947 |
| 2 | Lubumbashi | HKA | 1,283,380 |
| 3 | Mbuji-Mayi | KSO | 1,213,726 |
| 4 | Kananga | KSC | 720,362 |
| 5 | Kisangani | TSO | 682,599 |
| 6 | Bukavu | SKV | 471,789 |
| 7 | Kolwezi | LUA | 456,446 |
| 8 | Likasi | HKA | 367,219 |
| 9 | Tshikapa | KAS | 366,503 |
Una semaje kuhusu hii balkanisation of DRCKuna uzi wangu nimesema haya mambo ya Congo yana hitaji mjadala mpana wa makubaliano na mazungumzo ya amani kuliko hii mihemko ya nguvu za kivita na majeshi inayo endelea Congo.
Suala la Congo litazamwe zaidi katika njia ya amani kutatua migogoro njia ya vita itazidi kugharimu maisha ya Wacongo.
Mpaka sasa sijui ni Watanzania wangapi wanaojua majeshi yetu yapo Congo kupambana na waasi kwa sababu gani ? Na malalamiko ya serikali ya Congo ni yapi na malalamiko ya waasi ni yapi ?
Watanzania wengi ni kuunga tela tu bila kujua hasa uwepo wa askari wetu Congo una sababu gani kuu hasa za kutushawishi.
Hii haina tofauti na maswali wanao uliza raia wa marekani kwa nini pesa zao za kodi zina gharamia vita vya Ukraine bila sababu ya msingi wao kupewa
Mkuu hili ni jikwaa huru ni vema uwe unaweka content kwa kiswahili, pia kama ni copy and paste weka link tu, simple as that....Una semaje kuhusu hii balkanisation of DRC
bishops warn against ‘balkanization’ of central African nation
By Ngala Killian Chimtom
Feb 27, 2023
|
Africa Correspondent
YAOUNDÈ, Cameroon – Just weeks after Pope Francis visited the country, the Catholic bishops in the Democratic Republic of Congo have again raised concerns over what they say is a “cynical plan” by foreign armies, rebel groups and multinational companies to balkanize the country.
The eastern part of the DRC has been plagued by violence for years, with dozens of rebel groups fighting each other and the government.
Francis visited the DRC from January 31 to February 3, where he met with victims of the violence in the east of the country.
Recently, an East African regional force was dispatched to help fight the rebels, but the bishops are concerned that these forces are becoming part of the problem
In and Peace Commission, could work collaboratively with communities to persuade the rebels to lay down their arms.
“Faced with this threat, the best barrier is to consolidate national cohesion and revive the patriotic spirit. It is appropriate to control certain opinion leaders who are known for their derogatory remarks and the political actors who disseminate speech inciting hatred and exclusion,” the prelates said.
They stressed the importance of setting up a broad national framework to assess the agreements and alliances “that would constitute obstacles in the efforts to save the homeland in order to adopt new strategies.”
They called on the government to strengthen the monitoring and control system following suspicions that funds allocated to soldiers fighting insurgents was being embezzled, and insisted the embezzlers need to be brought to book.
Noting that their primary concern was “the lives of our brothers and sisters who have been bruised for several decades and the future of the DR Congo,” the Church leaders called on the government to intensify its military response by encouraging more young people to enlist in the army.
“We will not hesitate to contribute to any initiative that will aim to guarantee national security, territorial integrity, the stability of the State and its institutions, social peace,” the bishops concluded
Hiyo ilikuwa enzi za Vita vya kwanza vya Zaire mwaka 1996 enzi Mzee Laurent Kabila (Rip) akisaidiwa na Kigali na Kampala kutwaa madaraka.Solution ni moja tu, Kama Congo imewachoka wabanyamulenge ni heri wawape nchi yao lasivyo hakutakuwa na mwisho wa hizi vita huko Congo.
Ni tatizo lilioanza zamani sio siku hizi.
View attachment 2903085
Wanadai nini hasa?Hiyo ilikuwa enzi za Vita vya kwanza vya Zaire mwaka 1996 enzi Mzee Laurent Kabila (Rip) akisaidiwa na Kigali na Kampala kutwaa madaraka.
Mazingira ya Sasa ni tofauti sana na Zaire ya zamani, kwa Sasa Kuna uvamizi wa nchi jirani kwa kivuli cha waasi wanaojiita M23 japo hili lilianza toka zamani
Hiyo ilikuwa enzi za Vita vya kwanza vya Zaire mwaka 1996 enzi Mzee Laurent Kabila (Rip) akisaidiwa na Kigali na Kampala kutwaa madaraka.
Mazingira ya Sasa ni tofauti sana na Zaire ya zamani, kwa Sasa Kuna uvamizi wa nchi jirani kwa kivuli cha waasi wanaojiita M23 japo hili lilianza toka zamani
Jeshi la wananchi lipo congo, Kwa mwavuli wa sadec na sisi wenye jeshi letu tunajua,Kuna uzi wangu nimesema haya mambo ya Congo yana hitaji mjadala mpana wa makubaliano na mazungumzo ya amani kuliko hii mihemko ya nguvu za kivita na majeshi inayo endelea Congo.
Suala la Congo litazamwe zaidi katika njia ya amani kutatua migogoro njia ya vita itazidi kugharimu maisha ya Wacongo.
Mpaka sasa sijui ni Watanzania wangapi wanaojua majeshi yetu yapo Congo kupambana na waasi kwa sababu gani ? Na malalamiko ya serikali ya Congo ni yapi na malalamiko ya waasi ni yapi ?
Watanzania wengi ni kuunga tela tu bila kujua hasa uwepo wa askari wetu Congo una sababu gani kuu hasa za kutushawishi.
Hii haina tofauti na maswali wanao uliza raia wa marekani kwa nini pesa zao za kodi zina gharamia vita vya Ukraine bila sababu ya msingi wao kupewa
Nyerere mwenyewe anajulikana kwa kusaidia Watusi. Yéyé mwenyewe anaasili ya watusi. Kulikua na tuhuma kuwa anao ndugu zake kule Burundi. Na hilo Jina la Nyerere ni lakirundi.Solution ni moja tu, Kama Congo imewachoka wabanyamulenge ni heri wawape nchi yao lasivyo hakutakuwa na mwisho wa hizi vita huko Congo.
Ni tatizo lilioanza zamani sio siku hizi.
View attachment 2903085
Ni nani mfadhili wa waasi ili tujadili nae?Kuna uzi wangu nimesema haya mambo ya Congo yana hitaji mjadala mpana wa makubaliano na mazungumzo ya amani kuliko hii mihemko ya nguvu za kivita na majeshi inayo endelea Congo.