saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Huu ni muungano wa kulazimisha tena kwa mtutu wa bunduki. Ndio maana Kenyatta alisemaga watanzania ni wafu.
Muundo wa hovyo hauwajawahi kuwepo duniani ndio maana CCM wanauita wa pekee hp duniani. Eti watu hawatakiwi hata kutaja jina Tanganyika kwasababu eti hatujui hata maana ya jina Hilo. Nini maana ya Zanzibar, Kenya, Uganda? Hoja za hovyo kabisa. Tumebatizwa tunaitwa Tanzania bara, mbn wao hawajiiti Tanzania visiwani?
Nyerere alikuwa anamfurahisha Nani? Mapinduzi yenyewe yalifanywa na Tanganyika, muungano ulikuwa kwa ajili ya kulinda hayo mapinduzi yao maana sultani angerudi hiyo midebwedo ya Zenji wakimzuia na nini. Sultani angekuwa anatawala mpaka leo, muungano ulikuwa kwa ajili ya Zanzibar Cha ajabu wao ndio hawautaki tunawalazimisha.
About Jumbe alitaka kuuvunja Nyerere akafanya vituko. Nyerere ameiuza na kuidunisha nchi kubwa kama Tanganyika, kitakuja kizazi kufukua kaburi la Mwl. Nyerere.
Sherehe ya Uhuru wa Tanganyika ilifutiliwa mbali Ila angalia ya mapinduzi ya Zanzibar ni shamrashamra mwezi mzima. Ni kuzindua miradi mikubwa ya maendeleo iliyojengwa kwa pesa za Tanganyika.
Watanganyika tuamke tulinde rasilimali zetu.
Iko siku tukipata mtanganyika jasiri wazanzibari lazima watulipe